Inaweza ikawa ni ajali kazini... Lakini ni wangapi wajuawo yajayo? Hapa ndio Mungu kawafumba wengi... Mwisho wa ufahamu wetu ni leo.... Mengine yote ni majaliwa
Diamond (Nasibu/Naseeb) kutoka...
Good morning my fellow Jf members
My real name is Linda am 28 years old.
Am looking for a serious lovely man to spend the rest of my life with.
The man am looking for should be aged from 38...
Kama mjuavyo hivi karibuni tumbua tumbua ya uncle Magu ilitua kwa watumishi walioghushi vyeti mbalimbali. Sasa kuna rafiki yangu mmoja (family friend), huyu dada alikuwa rafiki sana na mke wangu...
Kama ambavyo kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na upuuzi/ mbwembwe nyingi mfano, kujidai wanapiga story kwenye vijiwe kadhaa, kupiga push up majukwaani, kula kwa mamantilie, kununua vitu...
1st year
nikiwa nimekaa leacture room
nikimuangalia msichana aliyekaribu
yangu,niliyekuwa nikimuita
"Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia
nywele zake nzuri na sura yake ya
upole huku nikitamani...
jamani kama kichwa kunavyojieleza hapo, tupeane mbinu za kumtongoza mwanamke ulio vutiwa nae kwa kumuona mara ya kwanza , nigia hipi ya kumuingia na kisha kumuka sawa hadi akakukubalia
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi...
Leo katika harakati za maisha nilipitia maeneo flani Kinondonu kupata msosi, akaingia jamaa mmoja tukakaa wote na yeye akawa anakula, baada ya msosi nikawa nimeagiza juice wakati imeletwa jamaa...
Nina miaka 28.Naishi dar es salaam.
Nimeajiriwa miaka miwili imepita.
Sina mtoto ,naishi peke yangu.
Awe dar es salaam na awe tayari kucheki afya.
Akiwa mwanachuo pia itapendeza
Aje pm .
Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa...
Leo baada ya kufika kazini nilitoka kwenda kupata supu ili kupunguza hangover maana jana nilipiga sana vyupa.
Nikiwa mgahawani nikamuona dada mmoja niliewai tembea nae miaka kadhaa iliopita...
Kwa sasa kuvunjika ndoa ni kitu cha kawaida
Kuna watu wanafikilia kuwa saivi watu hawapendani ndiyo maana ndoa zinavunjika wengine wanasema hakuna maadili
Lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha...
Mimi ni mhitimu wa chuo na kwa sasa najitolea shirika la serikali kupata experience na silipwi mishahara hivyo bado nmejishikiza kwa wazazi
Hapa nyumbani ndani ya fensi kuna nyumba kubwa na kwa...
Hapa chini ni aina za wanaume ambazo unatakiwa kuzifahamu;
Mwanaume wa kwanza atakwambia anakupenda kwa sababu anataka kulala na wewe na kisha kwenda kwa mwingine lakini kuna mwanaume...
Hellow,
Najihisi mpweke sana kipindi hichi cha mvua maana tangu tumeachana na mwenzangu ni takribani miezi sita sijapata wa kumuamini.
Natamani ningekuwa na mtoto kipindi hichi na mimi...
Wakuu,
Majuzi nilipost kuhusu kufuatilia chimbuko la Baba yangu huko Kigoma, wengi mkashauri ni bora nijenge tu maisha ya yangu/nitafute hela, mwenye shida na mimi atanitafuta mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.