Salam kwenu wanaJF natumai mko fresh kabisa.
Niende straight to the point nmekuwa nikipata malalamiko kutoka kwa watu wa jinsia zote kati ya me na ke kuilalamikia jinsia nyingine kwa kuongoza...
Wakuu habari zenu? leo kwenye group flani hivi la Whatsap tumebishana Sana kuhusu ndoa ni nini? na imeandikwa wapi kwenye Biblia hii ikafanya mpaka wadadisi wakajaribu ku Google ili kupata jibu...
Ndugu wana jf km kawaida yangu Leo Niko off napiga supu ya dagaa hapa beach..
Nimetafakari Changamoto za wake2 kwangu binafsi
1. Wake zangu nawapenda wote ila wao hawapendani uwa haipiti mwezi...
Habari wadau, naombeni msaada wa ushauri jinsi ya kum convince huyu mrembo, maana nateseka sana, Muda mwingi tupo pamoja na mavazi yake ni yamitego sana, akivaa sketi basi inakuwa ni fupi sana...
Hasa wanawake ......
Unakuta umezaa na mwanamke kwa bahati nzuri au mbaya hamkufanikiwa kufikisha lengo la kuoana ...sasa shida inakuja pale mwanaume uliye zaa nae anataka kuoa mwanamke mwingine...
Helow everyone,hope ur doing great,Am SSJ living in Dar..Am searching for a girl who is Rwandese by descent but living in dar right now..Her age should range(18-22) and having the following traits...
Kama kichwa kinavyo jieleza uku mtaani kuna mtoto nimetokea kumuelewa sana yani ni mwaka sasa kila siku nasema tu ntamfuata kesho.
Kinachofanya nishindwe kumfuata ni kwamba muda mwingi yupo...
“Kuua mke ni ushamba mkubwa kwani kuoa ni mkataba kati ya mume na mke na kama mke ameamua kuingiza njemba (mwanamume) ndani ya nyumba wakati mume hayupo, huko ni kuvunja mkataba na dawa yake ni...
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu...
Dah! Leo nimepita mitaa fulani uswazi nimekuta bonge la mtafaruku, jamaa kamfumania mkewe anatafunwa kwenye nyumba ya jirani yake.
Cha ajabu mwenye mke alidai alipwe laki 4 ya fumanizi yaishe...
Baadhi ya mambo ambayo watu wengi huyawaza na kuyahofia sana na kujikuta wengi wanapata tatizo la magonjwa ya akili ni haya;
1. Magomvi ya familia na ndoa zisizo na furaha
2. Kutoelewana na...
Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo
Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka...
Kila mwanamke ukimtongoza anakujibu ana mpenzi wake na wanapendama saana
Ukienda kwa wanaume kila mwanaume ukimuuliza anakujibu kuwa hana mpenzi
Sasa najiuliza wanawake hawa wapenzi Wao wanao...
Habari za weekend wakuu,
Nnatumaini tu wazima na tunaendelea vizuri na mapumziko au shughuli nyinginezo kama inavyotupendeza.
Kuna kisa ambacho kimeniliwaza na kunifanya niandike uzi huu.Kuna...
Hasa hizi ndoa za kuanzia 2005 kuja mbele sababu ikielezwa ni:
-Urahisi wa kufuatiliana haususani mitandao ya kijamii
-Usugu tabia wa wanawake wengi wanaendesha ndoa kwa tamthilia za ki Indonesia
Hivi unakumbuka papuchi iliyosababisha ukafanya vitu vya ajabu kuipata!?. Me mojawapo ni hii hapa:
Kipindi nasoma chuo nilipanga, Sasa kuna msichana fulani tulizoeana tu kwa salamu ila yeye...
Haka ka utafiti nimekafanya kwa muda mrefu kidogo na nimegundua wanawake wanene wana sifa hizo,ukioa au ukiwa na mahusiano na mwanamke mnene wataalamu wa mambo ya saikolojia ya mahusiano wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.