stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,751
Kama ambavyo kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na upuuzi/ mbwembwe nyingi mfano, kujidai wanapiga story kwenye vijiwe kadhaa, kupiga push up majukwaani, kula kwa mamantilie, kununua vitu gengeni/sokoni n.k yote hii ilikupata kura za wananchi. Vivyo hivyo na wanaume wakati wanamfukuzia msichana huwa na mbwembwe pia ili mradi ampate. Mara atamwimbia, mwingine kutuma hela kila mara, mwingine vocha n.k yaani atafanya vitu ambavyo mara nyingi ni out of the norm kwake ili tu a win the heart of the lady.
So wanaume ni mbwembwe gani ulifanya wakati unamfukuzia/seduce mwanamke? Je ulifanikiwa kumpata... Wanawake, mbwembwe gani alishawaionyesha mwanaume wakati anakufukuzia?
So wanaume ni mbwembwe gani ulifanya wakati unamfukuzia/seduce mwanamke? Je ulifanikiwa kumpata... Wanawake, mbwembwe gani alishawaionyesha mwanaume wakati anakufukuzia?