haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,864
mwanamke anaependa kulipiza kisa , kupenda kukomoana, na kutumie uke wake kama silaha au nyenzo,
ushahidi
1 huyu dada aligombana na mfanyakazi mwenzie wakike, ili kuweka mambo sawa kwa akili yake akamtafuta mume wa yule dada kumzawadia penzi, bila ya kujali maradhi au heshima yake akiamini kua anamkomoa yule dada alie gombana nae.
2. huyu nilikua nina mahusiao nae, tulipogombana akaamua kutoka na mtu wa karibu akiamin kua ananitia wivu na kunikomoaa mimi.
3. huyu mume wake alioa mke wa pili, kilichotokea akaamuua kugawa uroda kwa vijana mtaani akiamini kuwa nae anatanua na kumkomesha mume wake.
hii imenifanya niwe muoga sana ku mess na mwanamke kwa aina yoyote
sitaki kuaamini kua hii nitabia ya wanawake wote naamini wapo wengi wanajiheshimu na linapokuja ttzo kama hayo hukaa chini kutafakari na si kuona anakomoa mtu kumbe anajidharirisha na kujiharibia. be far from them