Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,059
Inaweza ikawa ni ajali kazini... Lakini ni wangapi wajuawo yajayo? Hapa ndio Mungu kawafumba wengi... Mwisho wa ufahamu wetu ni leo.... Mengine yote ni majaliwa
Diamond (Nasibu/Naseeb) kutoka familia fukara na makuzi magumu tena ya mzazi mmoja... K nyota majaliwa na jitihada binafsi yuko mbali kimaisha... Muziki ukiwa ndio umemtoa kimasomaso... Kwa hili nampongeza sana
Amepata mafanikio katika umri mdogo... Kuna changamoto kazipitia, hapaswi kulaumiwa ni ujana na kukosa uzoefu... Na kama angelijua pengine angetenda tofauti
Kuna kazi mbili zinamtesa... Hata kama hasemi... Zinamtesa kwa namna tofauti.. Lakini kila moja ikiwa na asili moja na misingi inayofanana...... Majinamizi ndani ya safari ya mafanikio....!!!
Kazi ya kwanza inayompa jinamizi baya kijamii ni kazi ya wimbo wa NITAREJEA aliomshirikisha binti mwanadada HAWA... Tumesoma habari za maua, zinasikitisha na kuhuzunisha sana... Wimbo wa NITAREJEA ni mojawapo wa nyimbo zilizomuweka Nasibu kwenye ramani ya kutambuliwa na ngazi ya umaarufu na mafanikio... HAWA ana sehemu yake kwenye huu wimbo... ALIUTENDEA HAKI... Maisha ya leo ya HAWA, hali yake ya kiafya, changamoto za ugonjwa wa ini alionao havifanani abadan na mafanikio na maisha aliyo nayo Nasibu
Jamii inamuangaliaje Nasibu akiwa katika kilele cha mafanikio, umaarufu na siha njema? Kwamba HAWA yule wa NITAREJEA ndio huyu anayeteseka bila msaada wa Nasibu na katika hali ya ufukara mkubwa?
Nasibu aka Diamond, nawe ni mzazi una watoto... Yanayompata Maua yanaweza kutokea katika familia yako pia... Usizuzuke na utajiri ulionao sasa... Maisha hayana formula.. Huyajui ya kesho... Maneno ya Mungu yanasema hivi... AJIDHANIAYE AMESIMAMA AANGALIE ASIJE AKAANGUKA MARA... Bado una nafasi na uwezo wa kumsaidia HAWA katika hali yake ya ugonjwa... Nawe utabarikiwa.... Kumbuka katika ule wimbo ulimwambia utarejea.,. Rejea sasa anakusubiri.. Hana makuu anahitaji msaada wako... Dunia inakuangalia.... Inasubiri... HAWA anasubiri msaada wako, hana kinyongo
Kazi ya pili inayompa jinamizi baya ni wimbo wa MARIA SALOME original version ya Saida Karoli... Kazi nzuri na ya viwango iliyompaisha pia kwa kumshirikisha mwanadada Hamisa Mobeto, nafasi aliyoitendea haki vilivyo... Ulijua kuchagua japo Inasemekana Hamisa ni chaguo la pili baada ya chaguo la kwanza kuchomoa dakika za mwisho.. Mungu naye ana mambo yake
Pamoja na uzuri wa kazi hii lakini ni kazi iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano ya Diamond na Zari.... Na mpaka sasa mambo hayajapoa... Mobeto alipania na kufanya aliyofanya mpaka ule wimbo ukiwa unaimbwa watu hawaangalii tena uzuri wake bali Mobeto alivyofanikiwa kumyumbusha Dai na kuisambaratisha familia... Mobeto kaichambua familia kama karanga huku HAWA akisubiri Nasibu arejee[emoji144][emoji24][emoji22]
Mojawapo ya uzao wa Diamond kuna mtoto wa kike... Na katika mojawapo ya interview zake alisema wazi kuwa hataki mwanae aje awe msanii kwa sababu wasanii wa kike WANAGONGWA SANA....
Hakujisemea ndio uhalisia lakini nani naiona kesho... Hakuna... HAWA Mobeto n the like wote kawapitia... Msururu ni mrefu... Ni kijana nguvu anazo umaarufu na pesa pia... Apambane na kina Mobeto makruu wa mitandaoni lakini asimsahau HAWA... Maisha hayana formula....