MAHABA KITANDANI

MAHABA KITANDANI

mchuziwapweza

Senior Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
107
Reaction score
149
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
 
Siku hizi hatutaki kuwadanganya Sana kwa maneno matamu maana ndo huwa mnafikiri Tumedataa kweli mnaanza vizingaaa...Hivyo hivyoo hakuna hata kutongoza ni kuitwa getoo tu ukijaa bhasii juaa umekubalii kuvuaa penzi limeanzaa
 
Mi nawashauli mdomo zege woote wawe wana kunywa k vant kwanza kabla ya kutongoza
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
Ngoja Madomo Zege(Inspector) waje.
 
Zamani tulijua kutongoza,maana tulikuwa tunahonga kwa hiari. Kwa Sasa hivi nitongoze, halafu nihonge pia kiasi unachohitaji!!!
 
hamna wakutongozwa sikuhizi ndo maana hatuhitaji hata kujua, pili kujua sana kutongoza ili nini? watu sikuhizi hawajui kutongoza ila wanajua zaidi kulea na kutunza familia zao
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
We huwez jiongeza kuwa nahitaji mbunye?
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
sio paka udanganywe na nyie mjiongeze kwan hampendi mikuno
 
Siku hizi hatutaki kuwadanganya Sana kwa maneno matamu maana ndo huwa mnafikiri Tumedataa kweli mnaanza vizingaaa...Hivyo hivyoo hakuna hata kutongoza ni kuitwa getoo tu ukijaa bhasii juaa umekubalii kuvuaa penzi limeanzaa
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
Mwanaume ana haja gani ya kutongoza wakati ninyi wanawake mlio wengi mnajitongozesha wenyewe?? Mavazi yenu, tembea yenu, ongea yenu, post zenu kwenye mitandao ya kijamii, vyote hivyo mnafanya kujitongozesha kwa wanaume. Mmewarahisishia kazi ya kutongoza ndiyo maana siku hizi wanaume hawatongozi tena bali wanatoa tu pesa na wewe unafuata, kinachofuata ni kugegedwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom