Ukweli kuhusu EX wako uliyeachana nae

Ukweli kuhusu EX wako uliyeachana nae

anobreezy

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
80
Reaction score
67
Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa anatoa vijembe. Cha ajabu mda umepita yule msichana kila akikutana na Ex wake anatabasam ,
Sasa hapa sielewi jaman wana JF
 
Huelewi nini sasa mkuu, yaana tabasamu linaenda kwa mtu mwingine kutoka kwa mtu mwingine halafu asiyeelewa ni mtu mwingine, watu wengine bana wana mambo mengine ya kivingine vingine tu.
Huyu jamaa kudanganya alimsema hapa sio mtu Mwingine ni yeye mwenyewe anazuga tu ili asionekane ana vichenchede vingi na mtu wake humu.
 
Ni vigumu kuona wema wa masikini. Tatizo la Ex ni nini hapo.
 
Huelewi nini sasa mkuu, yaana tabasamu linaenda kwa mtu mwingine kutoka kwa mtu mwingine halafu asiyeelewa ni mtu mwingine, watu wengine bana wana mambo mengine ya kivingine vingine tu.
Umekoment vizur saan mkuu yaan ungekuwa unakula rushw ningekwmbia agiza rushwa apo ulipo alaf bili iandikwe syllae
 
Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa anatoa vijembe. Cha ajabu mda umepita yule msichana kila akikutana na Ex wake anatabasam ,
Sasa hapa sielewi jaman wana JF
Kwanini usiseme tu kuwa wewe na Ex wako ndiyo mliopigana vijembe na maneno ya shombo sasa ndiyo huyo Ex akikuona anatabasamu
 
Huyu jamaa kudanganya alimsema hapa sio mtu Mwingine ni yeye mwenyewe anazuga tu ili asionekane ana vichenchede vingi na mtu wake humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi wanawake wengi nlioachana nao ni sababu yangu...mwanamke tukikaa mwaka basi huyo alikuwa mvumilivu sn sijui mke wangu aliniwezaje tu miaka 7 mpk akili yangu ikakaa sawa
 
Haaa kumbe umeow mkuu??

Nilijua uwa unatoa single kam mimi
 
usiwe unatumia nafsi ya pili umoja, huyo ni wewe
 
Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa anatoa vijembe. Cha ajabu mda umepita yule msichana kila akikutana na Ex wake anatabasam ,
Sasa hapa sielewi jaman wana JF
Huwezi kulielewa hilo tabasamu sababu halikuhusu, otherwise uwe straight kuwa ni wewe una wasi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom