Sitaki shida yake iwe mtaji wa mapenzi, nifanyeje?

KIUNGOMCHEZESHAJI

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
120
Reaction score
255
Kama mjuavyo hivi karibuni tumbua tumbua ya uncle Magu ilitua kwa watumishi walioghushi vyeti mbalimbali. Sasa kuna rafiki yangu mmoja (family friend), huyu dada alikuwa rafiki sana na mke wangu na ndipo nilipomfahamia. Tangu nilipomfahamu kwa kweli alikuwa msaada sana kwetu, kwani kila nilipohitaji huduma kwenye hiyo ofisi yao nilikuwa sipati shida ya kuzungushwa nahudumiwa fasta. Sasa kumbe huyu dada akakumbwa na tumbua ya vyeti kwa maana hakuwa na cheti halali cha kidato cha nne, japo vingine vyote viko fresh.

Siku moja mke wangu alikuja kunisimulia kilichomtokea shosti wake, kweli akawa anamhurumia, ikawa mrs akipata salary anampatia hela kidogo hata buku 20. Siku moja jioni, nikiwa safarini nikampigia na kumpa pole, na pia tuliongea mengi nikiwa na lengo la kumpa pole na kumfariji, pia nilimpa options nyingine nyingi tuu za kujikwamua. Baada ya hapo kweli akanishukuru kwa mawazo, na tukakubaliana nikirudi safarini nimtafute tuongee ana kwa ana.

Kosa la kwanza nililofanya ni kuwa siku nilipompigia, nilimwuliza issue ya mume wake, nilitaka tu kujua hali ya mumewe kiuchumi (kama ana ajira au mjasiriamali). OMG, kumbe huyu dada hana mume. She is a single mother of 2 kids ambao alizaa na mwanaume ambaye ni mume wa mtu.

Jambo la pili, niliporudi safarini, mke wangu akapata safari ya kikazi. Siku moja akanitext kuniomba kama naweza kumsaidia buku 30. Nikampa lakini nikaona pia ni vyema tuonane.
Tulionana na tuliogea mengi, na suluhu ya kujikwamua ilikuwa ni kuanzisha miradi ya ujasiriamali, ambayo ni viable lakini inahitaji mtaji. Baada ya mazungumzo yale muda ulikuwa umeenda sana, nikaamua kumsindikiza kwake. Badala ya kumpa 30k, nikampa 50k. Kuhusu mradi nikamwambia nikifanikiwa kupata hata safari ya siku chache nitajibana hizo per diem ili nimpe laki2, lakini huo mradi ausimamie kwa karibu sana. Nilipomfikisha karibu na kwake, nikaona bado anataka kuendeleza story, kila akiongea nataka tukatishe niondoke. Akaniuliza sasa hivi tulivyoonana mke wangu anajua? na haya maamuzi pamoja na hii hela nimempa anajua? Nikamwambia hajui na asimwambie. Kama ni kosa nimeshalifanya tangu mwanzo nikimwambia now ataanza kuwa na maswali. Nikamuaga nikarudi kwangu.

Akijua kuwa mrs wangu yuko safari, basi akawa ananitumia sms nyingi sana, mpaka muda wa kulala. Nikahisi mwenzangu anataka kuhamisha agenda nikamuaga nikalala. Baada ya wiki 3 hivi akaniomba tena 20k. Nikampatia, na alikuja mida ya jioni akiwa anarudi kwake, nikampeleka na gari yangu tena, nilimfikisha mida ya saa mbili usiku. Tulipofika wakati wa kuagana alinishika mkono, akaubusu akaushikilia huku akiutekenya kiaina. Nikamsemesha kwa namna ya joke, lakini haikusaidia. Akaniambia wazi bilaa chenga kuwa amezidiwa na hisia, maana ni zaidi ya miezi 5 hajakutana na mwanaume. Akasema pamoja na msaada niliompatia kama sitojali mimsaidie na hilo lingine..... Sasa ni zaidi ya wiki nampiga chenga kuwa niko bize sana kazini. Nawaza tuu, shida ninayoiona sijampenda kutokea moyoni na wala sina hisia yoyote kwake, nikimgegeda ni kuwa ninamridhisha tuu na ataniganda, najua huko mbeleni nitatemana naye alafu atanilaumu. Ila naona tabu nyingine kumwambia live kuwa sina mpango naye na sina hisia naona ni aibu kwa mwanaume vile.
 
Wanaume huwa hatupindishi maneno wala hatuna sifa ya kuona aibu,
Vilevile hakuna zombie anayeshiba damu,
Ni vema simba kula swala wawili kuliko kulala njaa ndani ya zizi la swala... Watch it
 
nyie wote wawili hamna hisia kati yenu hapo yeye anakutaka ili apate sehem ya kujibanza tu na sehem ya kupata ugali wake na wewe unahisi labda ana ka hisia flan kwako
kumbuka alianza kwa kufoji vyeti, amezaa watoto na mume wa mtu tayari, na wewe ni mume wa mtu bado ana kutafuta, shtuka huyo ni professional wa ku chuma pesa.

kama utakuwa una msaidia msaidia ki utu tu ila uki jichangajya uka mla, bas utakuwa baba wa familia.mbili rasmi huku familia moja ikiwa haina kazi yyte ya kufanya.

do that , and thank me later
 
kila unachofanya naye na msaada unaotoa mkeo awe anajua au upitie kwake kabisa kuondoa tatizo
 
Mkuu pole,msaidie kama ulivyokusudia ila mwambie wazi kuwa hauko tayari kwa mapenzi.Ukiingia kwenye huko mtego utajuta maisha yako yote yaliyobaki.
 
Nakushauri,, mheshimu sana mke wako. Huyo sio rafiki mwema kwa mkeo na ipo siku atachonganisha ndoa yako... Angalia sana na heshimu ndoa yako.
 
Sasa kama umefanikiwa kukataa ile siku ya kwanza mwambie tu haitowezekana .. Wewe ni mtu una mke na unajiheshimu.
 
Kama mjuavyo hivi karibuni tumbua tumbua ya uncle Magu ilitua kwa watumishi walioghushi vyeti mbalimbali. Sasa kuna rafiki yangu mmoja (family friend), huyu dada alikuwa rafiki sana na mke wangu na ndipo nilipomfahamia. Tangu nilipomfahamu kwa kweli alikuwa msaada sana kwetu, kwani kila nilipohitaji huduma kwenye hiyo ofisi yao nilikuwa sipati shida ya kuzungushwa nahudumiwa fasta. Sasa kumbe huyu dada akakumbwa na tumbua ya vyeti kwa maana hakuwa na cheti halali cha kidato cha nne, japo vingine vyote viko fresh.

Siku moja mke wangu alikuja kunisimulia kilichomtokea shosti wake, kweli akawa anamhurumia, ikawa mrs akipata salary anampatia hela kidogo hata buku 20. Siku moja jioni, nikiwa safarini nikampigia na kumpa pole, na pia tuliongea mengi nikiwa na lengo la kumpa pole na kumfariji, pia nilimpa options nyingine nyingi tuu za kujikwamua. Baada ya hapo kweli akanishukuru kwa mawazo, na tukakubaliana nikirudi safarini nimtafute tuongee ana kwa ana.

Kosa la kwanza nililofanya ni kuwa siku nilipompigia, nilimwuliza issue ya mume wake, nilitaka tu kujua hali ya mumewe kiuchumi (kama ana ajira au mjasiriamali). OMG, kumbe huyu dada hana mume. She is a single mother of 2 kids ambao alizaa na mwanaume ambaye ni mume wa mtu.

Jambo la pili, niliporudi safarini, mke wangu akapata safari ya kikazi. Siku moja akanitext kuniomba kama naweza kumsaidia buku 30. Nikampa lakini nikaona pia ni vyema tuonane.
Tulionana na tuliogea mengi, na suluhu ya kujikwamua ilikuwa ni kuanzisha miradi ya ujasiriamali, ambayo ni viable lakini inahitaji mtaji. Baada ya mazungumzo yale muda ulikuwa umeenda sana, nikaamua kumsindikiza kwake. Badala ya kumpa 30k, nikampa 50k. Kuhusu mradi nikamwambia nikifanikiwa kupata hata safari ya siku chache nitajibana hizo per diem ili nimpe laki2, lakini huo mradi ausimamie kwa karibu sana. Nilipomfikisha karibu na kwake, nikaona bado anataka kuendeleza story, kila akiongea nataka tukatishe niondoke. Akaniuliza sasa hivi tulivyoonana mke wangu anajua? na haya maamuzi pamoja na hii hela nimempa anajua? Nikamwambia hajui na asimwambie. Kama ni kosa nimeshalifanya tangu mwanzo nikimwambia now ataanza kuwa na maswali. Nikamuaga nikarudi kwangu.

Akijua kuwa mrs wangu yuko safari, basi akawa ananitumia sms nyingi sana, mpaka muda wa kulala. Nikahisi mwenzangu anataka kuhamisha agenda nikamuaga nikalala. Baada ya wiki 3 hivi akaniomba tena 20k. Nikampatia, na alikuja mida ya jioni akiwa anarudi kwake, nikampeleka na gari yangu tena, nilimfikisha mida ya saa mbili usiku. Tulipofika wakati wa kuagana alinishika mkono, akaubusu akaushikilia huku akiutekenya kiaina. Nikamsemesha kwa namna ya joke, lakini haikusaidia. Akaniambia wazi bilaa chenga kuwa amezidiwa na hisia, maana ni zaidi ya miezi 5 hajakutana na mwanaume. Akasema pamoja na msaada niliompatia kama sitojali mimsaidie na hilo lingine..... Sasa ni zaidi ya wiki nampiga chenga kuwa niko bize sana kazini. Nawaza tuu, shida ninayoiona sijampenda kutokea moyoni na wala sina hisia yoyote kwake, nikimgegeda ni kuwa ninamridhisha tuu na ataniganda, najua huko mbeleni nitatemana naye alafu atanilaumu. Ila naona tabu nyingine kumwambia live kuwa sina mpango naye na sina hisia naona ni aibu kwa mwanaume vile.
 
Attachments

  • FB_IMG_1498283018368.jpg
    FB_IMG_1498283018368.jpg
    31.3 KB · Views: 57
Mkuu ni bora ukamwambia ukweli tu kama huna hisia nae, kwa maana ukikaa vibaya utajibebesha majukumu ambayo sio
 
Huna lolote mambo ya kukutana na mwanamke mwingine huku mkeo hajui ndio hayo..wewe ni msaliti
 
Unampenda ninavyojua mwanaume kama hatari anachuna mbaya. Akiomba 20,000 kama una huruma zipotie kwa wife wako.
 
Ndoa yako ipo hatarini. . Mwanaume gani huna msimamo? Kumwambia haiwezekani, na kumpiga biti aache kukutafuta kwenye simu maana hajiheshimu na sio rafiki mzuri. .
 
Kama mjuavyo hivi karibuni tumbua tumbua ya uncle Magu ilitua kwa watumishi walioghushi vyeti mbalimbali. Sasa kuna rafiki yangu mmoja (family friend), huyu dada alikuwa rafiki sana na mke wangu na ndipo nilipomfahamia. Tangu nilipomfahamu kwa kweli alikuwa msaada sana kwetu, kwani kila nilipohitaji huduma kwenye hiyo ofisi yao nilikuwa sipati shida ya kuzungushwa nahudumiwa fasta. Sasa kumbe huyu dada akakumbwa na tumbua ya vyeti kwa maana hakuwa na cheti halali cha kidato cha nne, japo vingine vyote viko fresh.

Siku moja mke wangu alikuja kunisimulia kilichomtokea shosti wake, kweli akawa anamhurumia, ikawa mrs akipata salary anampatia hela kidogo hata buku 20. Siku moja jioni, nikiwa safarini nikampigia na kumpa pole, na pia tuliongea mengi nikiwa na lengo la kumpa pole na kumfariji, pia nilimpa options nyingine nyingi tuu za kujikwamua. Baada ya hapo kweli akanishukuru kwa mawazo, na tukakubaliana nikirudi safarini nimtafute tuongee ana kwa ana.

Kosa la kwanza nililofanya ni kuwa siku nilipompigia, nilimwuliza issue ya mume wake, nilitaka tu kujua hali ya mumewe kiuchumi (kama ana ajira au mjasiriamali). OMG, kumbe huyu dada hana mume. She is a single mother of 2 kids ambao alizaa na mwanaume ambaye ni mume wa mtu.

Jambo la pili, niliporudi safarini, mke wangu akapata safari ya kikazi. Siku moja akanitext kuniomba kama naweza kumsaidia buku 30. Nikampa lakini nikaona pia ni vyema tuonane.
Tulionana na tuliogea mengi, na suluhu ya kujikwamua ilikuwa ni kuanzisha miradi ya ujasiriamali, ambayo ni viable lakini inahitaji mtaji. Baada ya mazungumzo yale muda ulikuwa umeenda sana, nikaamua kumsindikiza kwake. Badala ya kumpa 30k, nikampa 50k. Kuhusu mradi nikamwambia nikifanikiwa kupata hata safari ya siku chache nitajibana hizo per diem ili nimpe laki2, lakini huo mradi ausimamie kwa karibu sana. Nilipomfikisha karibu na kwake, nikaona bado anataka kuendeleza story, kila akiongea nataka tukatishe niondoke. Akaniuliza sasa hivi tulivyoonana mke wangu anajua? na haya maamuzi pamoja na hii hela nimempa anajua? Nikamwambia hajui na asimwambie. Kama ni kosa nimeshalifanya tangu mwanzo nikimwambia now ataanza kuwa na maswali. Nikamuaga nikarudi kwangu.

Akijua kuwa mrs wangu yuko safari, basi akawa ananitumia sms nyingi sana, mpaka muda wa kulala. Nikahisi mwenzangu anataka kuhamisha agenda nikamuaga nikalala. Baada ya wiki 3 hivi akaniomba tena 20k. Nikampatia, na alikuja mida ya jioni akiwa anarudi kwake, nikampeleka na gari yangu tena, nilimfikisha mida ya saa mbili usiku. Tulipofika wakati wa kuagana alinishika mkono, akaubusu akaushikilia huku akiutekenya kiaina. Nikamsemesha kwa namna ya joke, lakini haikusaidia. Akaniambia wazi bilaa chenga kuwa amezidiwa na hisia, maana ni zaidi ya miezi 5 hajakutana na mwanaume. Akasema pamoja na msaada niliompatia kama sitojali mimsaidie na hilo lingine..... Sasa ni zaidi ya wiki nampiga chenga kuwa niko bize sana kazini. Nawaza tuu, shida ninayoiona sijampenda kutokea moyoni na wala sina hisia yoyote kwake, nikimgegeda ni kuwa ninamridhisha tuu na ataniganda, najua huko mbeleni nitatemana naye alafu atanilaumu. Ila naona tabu nyingine kumwambia live kuwa sina mpango naye na sina hisia naona ni aibu kwa mwanaume vile.
Kuna wanaume na wavulana
 
Mkuu ukila basi ndoa yako unaitia matatani.Ni mwanaume mjinga ambae yuko tayar kuharibu future ya familia kwa tamaa za kitoto.
Ni kheri ukatembee na mtu huko ambaye hata wife hamjui kuliko kula rafiki yake.
Kuwa salama misaada yote aichukue kupitia kwa wife wako.
 
Akili za wanawake wanazijua wao na Mungu wao.

Hapo anajiandaa kuivuruga ndoa ya rafiki yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom