Big Dy
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 496
- 615
Niende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa.
Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja juuhadi kupelekea ndoa kuwa mashakani. Nimekoma Wazee
Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja juuhadi kupelekea ndoa kuwa mashakani. Nimekoma Wazee