Bila mwanamke maisha hayaendi

Bila mwanamke maisha hayaendi

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Pongezi kwenu viumbe vya kike
Wakuite
Mama
Dada
Wife
Mchepuko
Mrupo etc

Wherever, they call u

Wewe ni wathamani sana maishani

Nikiwa frastrasted huwa natoka nje ya Nyumba nakuanza kutazama wadada wakipita, yaani moyo wangu usuuzika kabisa hata nisipokula msosi

Nikiwa na bundle siwezi maliza kifurushi bila kupita chimbo ambalo girls na women can dere to speak openly .


Niambie wewe Fantasy yako ni nini kwenye maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom