Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Wanawake wengi huwa wanaishia kulalamikia wanaume punde tu wanapowapa miili yao kwa kujua wanapendwa alafu baada ya muda furani wanashituka kwamba walikuwa wanachezewa,
Unajua wanaume tunapenda mara moja tu katika maisha yetu na ata kama ikitokea tumependa tena basi huwa tunapenda kwa taadhari sana na sio kama mwanzo,
Mwanaume aliyetendwa na mwanamke aliyekuwa anampenda huwa na moyo mgumu kuliko ata ugumu wa jiwe na ndio maana huwa ni ngumu kusahau katika maisha yake mpaka kifo chake,
Kutendwa kwa mwanaume na kutendwa kwa mwanamke kunaweza kuwa na maumivu sawa lakini hakuwezi kuwa na kumbukumbu zinazoendana,
Mwanamke ni Rahisi kusahau na kufuta past lakini mwanaume ni ngumu kusahau past na huwa nayo mpaka Future.
Mwanaume aliyetendwa na mwanamke aliyekuwa anampenda huwa hawezi kusahau maumivu yake katika maisha yake yote ,
anaweza kusahau kwa muda tu lakini kumbukumbu zikimjia ni lazima apate maumivu tena ndio maana huwa hatuna upendo wa pili tunapenda mara moja tu huko kwingine tunaridhisha Nafsi.