Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natamami ifike wakati ambapo tutakuwa na ndoa za mikataba, ambapo tutawekeana terms and conditions!! Ambapo mtajadili terms and conditions, na kuzisaini mkiridhia, pia ndoa ziweze kuwa na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna mambo yanakera sana, kuna mtu nilipanga kuonana nae hivyo tukapanga tuonane sehemu flani tulivu hapa Dar. Na mimi nikawapanga marafiki zangu kama watatu twende wote coz siku ya kwanza...
10 Reactions
214 Replies
19K Views
Habar zenu wakuu Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga Nilikua napata tafakar kuhusu...
3 Reactions
3 Replies
855 Views
Nawasalimu nyote moja kwa moja kwenye mada.... Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuwazalisha wanawake bila kuwaoa na kwenda kuoa mabinti wengine wenye watoto au wasio na...
12 Reactions
160 Replies
25K Views
Habari wana Jf Hii inakuaje unakua na mahusiano na kabint hivi kadogo kwako kiumri kiuchumi hadi kielimu lakini hakina nidhamu kanataka kunitawala. Kipindi kikileta nyodo zake huwaga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kila mtu alishawahi kuwa Na rafiki snitch yule rafiki mbea mbea yaani asisikie kitu kuhusu wewe tayari kitaa washajua au ameshayapeleka kwa bi mkubwa au mahala popote, Marafiki wa namna hii huwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo but baada ya ajira kuzingua nkaanzsha business ya reja reja Sincerely speaking mwanzoni skuwa na maendleo yyte just kwakuwa nlkuw kwenye uhusiano na girl na alijua kuw...
28 Reactions
76 Replies
6K Views
Marafiki
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mdada alie serious apitie post zangu jamani upweke unaumiza sana natafuta soul mate atae ridhia na hali yangu
1 Reactions
4 Replies
889 Views
Habari wanajamvi? Habari kutoka mitaani zinatanabaisha kwamba kuna ongezako la wanaume kupenda kula jicho ilihali wanawake nao idadi yao ikiongezeka kwa kupenda kuliwa jicho. Ongezeko hilo la...
5 Reactions
151 Replies
23K Views
Habari waungwana wadau wa MMU [emoji1538] "Kupanga ni kuchagua" JPM Nimeanza na hiyo nukuu sasa tuende mbele. Mada yetu kama kichwa cha habari kinavyosema, nadhani inajieleza labda niongeze...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutongoza Mwisho Mara Tatu Tu Zaidi Ya Hapo Unakua Usumbufu Hata Kwa Yule Unaemtongoza.
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Kwa wanaume Rijari wanafahamu hili mnara unasoma 5G± zaidi pale wakati wa Kuelekea Alfajiri na ndio muda ambao mkojo huwa unabana sana, Sasa ukitaka kufaidi utamu wa mkojo wako upate choo safi...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Naandika uzi huu nikiwa na maumivu yaliyopitiliza jana wife katoka job akanipita ofisini kama kawaida ili turudi nyumbani kwa bahati mbaya nikashika simu nilichokuta siwezi sahau kidogo nianguke...
4 Reactions
233 Replies
35K Views
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila...
67 Reactions
119 Replies
12K Views
Tumejengewa na jamii kuwa ni jambo la kawaida kwa wanaume kuchepuka ama kuwa na wanawake nje ya ndoa pamoja na haka kamsemo "mwanaume kaumbiwa tamaa" naomba ladies wenzangu tuambiane ukweli juu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiangalia na kila nikipita wanaume wengi sana wavivu kununua chupi na soksi au kubadilisha,yaani jitu linatoka na soksi tofauti au imetoboka au chupi chafu na kweli nyie wakina dada semeni ukweli.
1 Reactions
160 Replies
20K Views
Eti wadau, hivi demu ambaye hautokinae kimapenzi wala hujawahi kumtongoza ila ni watu tu mnaofahamiana mnawasiliana , kuchati kupitia simu na hali ya kuwa mwanamume unakuwa kipaumbele kumsabahi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali, kuna wanaosema zinawasha, zinapunguza ladha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi. Hatukatai basi kama hilo ni...
19 Reactions
293 Replies
20K Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom