Mwanaume aachiwa mtoto kisa kubana matumizi

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,318
Reaction score
7,985
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la disuza (25), ameachiwa mtoto Doreen (8 months) na mke kutimkia kusikojulikana. Baada ya mama mtoto kutoroka mtoto huyo alipelekwa kwa Dada wa DIZO amlee wakati wakimtafuta mama mtoto.

Sababu kubwa ya mwanamke huyo kutoroka ni kutokana na kuchoshwa na tabia ya mumewe kuzidisha ubahili. Majirani na ndugu wa kijana huyo wamesema kijana huyo anatabia ya kuhesabu mpaka vipande vya nyama na kugawanya kwa Milo na kikipungua hata kimoja tu wakati wa upikaji basi mke atapata tabu sana. Pia unga, mchele na fedha za matumizi akitoa basi huhesabu siku zitakazotumika na ikitokea vimeisha kabla ya tarehe basi mke itabidi aanze kuomba kwa majirani na ndugu ili kufidia siku zilizosalia kufikia malengo ya bajeti.

Leo tar 09/10/2018 jamaa kampeleka mtoto kwa mama yake ambae yupo kwa wazazi wake. Binti amebembelezwa kurudi kwa mumewe amekataa na kuomba apewe muda wa kufikiri juu ya hilo.
 
kaaaa wanaume mnakatisha tamaa
 
Back
Top Bottom