Wanaume wapi tumebugi

Wanaume wapi tumebugi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Zamani wanawake walikuwa
wanahangaika huku na kule
kumridhisha mwanaume,wanaenda kwa waganga,

wanagombana,wanajinyenyekeza,wanahudumia kama watumwa na waliishi kwa mashaka makubwa,

Siku hizi imekuwa kinyume chake yani wanaume tumekuwa obsessed na kumridhisha mwanamke, hofu ya
ubamia, hofu ya kutowaridhisha na
hofu ya kugongewa vimetawala

Watu wanakula mihogo mibichi na nazi
mbichi, watu wanakunywa konyagi bila kupenda, watu wanahonga na kulamba papuchi kama mbuzi..!!!!!!!?

nini kimetokea? wapi tumekosea?
Wapi tulizingua asee kuna Adam
mwingine nini amebugi?
 
Wanaume wa dar mna shiiiiiidaaaaa
Tena sana
Wa mkoani hawagongewi mkuu mbona huko iringa wanaongoza kujinyonga kw wivu wa mapenzi,na huko kwa kina muraa(Musoma) kila siku wanakatana mapanga kwa wivu tu wa mapenz vipi nako sio mkoani mkuu?
 
Ni Upepo Tu Nao Utapita Na Kamwe Hatuwezi Kuwafikia Wao Wanavyohangaika Juu Yetu Mpaka Kesho
Wao wanaangaika kutupunusa sisi tunaangaika kuwaridhisha
 
Watu wanakula mihogo mibichi na nazi

mbichi, watu wanakunywa konyagi bila kupenda, watu wanahonga na kulamba papuchi kama mbuzi..!!!!!!!?
AISEEE SINA LA KUONGEZEA
Ongezea mkuu
 
Weng kule wanajinyonga kwa sababu tofaut tofaut na syo shida ya kumridhisha mwanamke
Refer chief mkwawa [emoji23][emoji23]
Wa mkoani hawagongewi mkuu mbona huko iringa wanaongoza kujinyonga kw wivu wa mapenzi,na huko kwa kina muraa(Musoma) kila siku wanakatana mapanga kwa wivu tu wa mapenz vipi nako sio mkoani mkuu?
 
Mkuu hata iliyo regea ina tiaa mimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona dadazenu wakija dar wanarudi na mimba huko kwenu vip hamuwez kutia mimba au[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Weng kule wanajinyonga kwa sababu tofaut tofaut na syo shida ya kumridhisha mwanamke
Refer chief mkwawa [emoji23][emoji23]
Aaha kwa hiyo wote wakina chief mkwawa mkuu?
 
Unakuta mwanaume saiz anawahi siti aangalie sultan na hataki kelele
Wanaume sasa hivi tuna shida sana eti wengine wanashindana saloon kusuka na dada zao
 
kufikiria mapenzi zaidi na kutokujali yaliyofanywa na wazeee wetu na kutojali pesa ha haaa haaa tabu kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom