Nina uhakika hili tukio lililotokea huko nchini Ujerumani kama litazingatiwa na kuigwa na Wanawake wengi wa Kiswahili / Kitanzania basi Wanaume wengi ' tutafungwa ' Jela na kama pia Mahakama...
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,mama yangu ana miaka 46 na amefanikiwa kuwa na watoto wanane(wanaume 4 na wanawake 4).
Baba yangu alifariki 2014 hivo tukabaki na mama tu,lakini Dada...
Wakuu mimi huwa niko serious kwenye mambo hygene mwenzangu anakauvivu fulani hivi,kipindii cha mwanzo tulipokutana alikuwa na niseme ukwelii hajijali sana.
Mimi nikafikiri ni mila za makabila...
Wakuu,
Mke wangu ni mlokole sana, yani kupitiliza mpaka kunyonya mgegedo anasema eti ni dhambi. Hajawahi na wala hana mpango wa kunyinyonya japo mi huwa napenda.
Tokea muda mrefu sana nawish...
Nilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu
Nimemaliza...
Naomba kujua mawazo yenu hasa kwa wale Wa kaka walio oa ,hivi kwanini mwanaume anaetarajia kufunga Ndoa/HARUSI huwa anapitia kipindi anakonda sana ,ni kwanini hasa ?
Sijui kwanini kwakweli..?
Unakuta watu uhusiano wao una zaidi ya miaka miwili...
Wazazi wao pande zote zinafahamu upumbavu wao...
Wanaishi nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja kama mume na...
Wandugu nataka nimvishe mtu pete ya uchumba na nimemhaidi siku nyingi ila pesa ina matumizi mengi naona nijitose tu ni mvishe asije niona msanii...Pete zinaanzia hw much?
Ndoa ni kitendo kitakatifu ama wakristo tunasema ndoa ni agano, lakini tofauti ya kawaida ya umri kati ya baadhi ya wanandoa husababisha matatizo kadhaa na uhusiano wenye afya kati ya mume na mke...
Nilisoma habari ya dada mmoja Muingereza ni celebrate na mtangazaji wa TV anaitwa Anthea Turner. Anthea hakuzaliwa kwenye familia ya kitajiri lakini hawakua masikini. Anasema katika ndoto zake...
Jamani I'm confused, naombeni ushauri.
Kuna kaka mtu mzima (early 40s) alikuwa BAE wangu nikiwa chuo kwa miaka 2. Yy alikuwa c mwanachuo wakati huo.
Lkn nilipomaliza chuo nilimpiga kibuti, ili...
Salaam wakuu,
Ama baada ya salamu mimi ni mzima wa afya (lol...)
Ntaanzia mbali kidogo, katika haya maisha yetu angali bado tuko wadogo, wazazi hua wanajaribu kutu-influence kupenda kitu flani...
Zamani nilikuwa sielewagi kwanini ndugu au wazazi walikuwa hawapendi uwarudie nyumbani usiku...nilikuwa naona kama wananibana bana tu...
Sasa hivi mimi nina kwangu...kwanza sipendi kutembea usiku...
Kwa taarifa yako ukiona Siku 15 zimebaki kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya halafu ama Mke wako au Mpenzi wako au Mchumba wako akakuonyesha moja ya dalili hizi zifuatazo au hata zote jua...
Nimekuja jijini Mwanza. Kitu kimoja nime-notice ni kwamba. Mabinti wa huku bado wana medieval mentality yaan mtindo wa maisha ambao ni primitive. Ukitaka kumgegeda mpka utongoze upige sound week...