Are we happy where we're???

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salaam wakuu,
Ama baada ya salamu mimi ni mzima wa afya (lol...)
Ntaanzia mbali kidogo, katika haya maisha yetu angali bado tuko wadogo, wazazi hua wanajaribu kutu-influence kupenda kitu flani. Mfano, utakuta wazazi wanamwambia mwanao kwamba soma uje kua daktari kama baba,mhasibu kama mama, injinia kama mjomba and the like. Basi unakuta tangu ukiwa mdogo unashawishika kupenda masomo fulani (by influence) kusudi tu baadae uje kua kama fulani.
Unakuta mtoto ana passion na muziki (kwa mfano) lakini anakua discouraged kwenye hiyo talent yake anasisitizwa azingatie sana masomo ya sayansi kusudi aje kua daktari kama baba. Anafuata kweli nyayo nakufanikiwa kuja kua daktari lakini hana passion na kazi yake.
Hii inatokea mara nyingi unakuta mtu ana kazi nzuri, nyumba na usafiri lakini still not happy. Au unakuta mtu ana familia (husband/wife with kid(s) ) lakini hayuko happy simply because (maybe) pressure ya kujikuta umri unaenda and you're alone anajikuta anafunga ndoa na mtu tu even if hakua true love kwake. So the big question is, are we happy? Are you doing what makes you happy? Au unaishi tu kwakua unajipatia kipato chako ambacho kinakidhi mahitaji? Nlishawahi kukaa na Kelvin Twisa once kipindi fulani he was going through alot kwenye mahusiano yake (before officially getting married) akaniambia unaweza ukawa na pesa dunia nzima and still usiwe happy. He was willing mkeshe nae bar hadi asubuhi kusudi tu umpe company asirudi mapema kwa mwenza wake..
All in all, happy holidays
 
To be happy with what you do it's only mind treatment

Psych just play with it you must be happy
 
Alhamdulillah i am happy na nina amani ya moyo nilipo ukiacha changamoto za hapa na pale haijanishawishi kuondoa furaha yangu
 
nina amani ya mwili & amani ya roho pia..
Mungu ni mwema sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom