Mitaa gani nitapata pete ya uchumba ya bei rahisi DSM

Long'ututi

Member
Dec 5, 2010
41
4
Wandugu nataka nimvishe mtu pete ya uchumba na nimemhaidi siku nyingi ila pesa ina matumizi mengi naona nijitose tu ni mvishe asije niona msanii...Pete zinaanzia hw much?
 
Kama mnaiga ya wazungu muige kwa ukamilifu. pete ya uchumba inatakiwa iwe na thamani kama unavyomthaminisha mwanamke wako hata kwa kutoa pesa zako zote bank. nunua hata yenye tanzanite kama sio diamond
 
Sikia mambo haya!

mwambie basi wapi anaweza kuzipata ?
 
Mkubwa waweza kwenda pale milenium towers sayansi kuna duka wanauza hizo pete ni wewe tu na pesa yako au pia waweza kwenda Sinza madukani nadhani kama umetokea ubungo lipo upande wa kushoto, kila la heri mkuu wangu
Kama mnaiga ya wazungu muige kwa ukamilifu. pete ya uchumba inatakiwa iwe na thamani kama unavyomthaminisha mwanamke wako hata kwa kutoa pesa zako zote bank. nunua hata yenye tanzanite kama sio diamond
 
Nenda kwa nchimbi magomeni wajanja wote wanaenda huko hadi first lady wetu nilimkuta huko kipindi fulani huko nyuma.magoeni mapipa ulizia mtu yeyote utaonyeshwa
 
Hahhaaaaa za wamachinga noma, mimi nataka ya ndoa nimvalishe tena my wife wangu....
 
Wandugu nataka nimvishe mtu pete ya uchumba na nimemhaidi siku nyingi ila pesa ina matumizi mengi naona nijitose tu ni mvishe asije niona msanii...Pete zinaanzia hw much?

mkuu mm ninayo niliyomvua mtu baada ya kuleta za ki-sister du!!fanya laki mbili na nusu!!
 
Hahhaaaaa za wamachinga noma, mimi nataka ya ndoa nimvalishe tena my wife wangu....
mkuu hizo huwa hazibadilishwi!!uliyovalishwa kanisani inakuwa na upako wa ndoa hivyo ukimbadilishia haitakuwa na upako!!
 
ya kipindi kile sikuwa vizuri Mpwa kwahio ndio nilichukua ya mmachinga, sasa naweza nunjua na kuirudisha tena church??
mkuu hizo huwa hazibadilishwi!!uliyovalishwa kanisani inakuwa na upako wa ndoa hivyo ukimbadilishia haitakuwa na upako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom