Ndoa imekuwa ngumu

Ndoa imekuwa ngumu

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Sijui kwanini kwakweli..?

Unakuta watu uhusiano wao una zaidi ya miaka miwili...
Wazazi wao pande zote zinafahamu upumbavu wao...
Wanaishi nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja kama mume na mke...ukiwaangalia haraka haraka utajua hawa ni halali...
Gharama zote za maisha wanazimudu wakiwa wawili...

Ukiwauliza ndoa vipi jamani...? WANAKUAMBIA MUDA BADO BHANAA....MAPEMA SANA ETY...

NINI SABABU HAWANA SABABU...WANAONGEA ONGEA MAHARAGE HARAGE TU...

NIMELILETA KWENU WANAJUKWAA TULIJADILI KWA KINA...

KIPI NI KIGUMU KWENYE NENO "NDOA"...? MAANA WATU WANAISHI MAISHA YA NDOA...ILA LINAKOSEKANA NENO HAWA NI WANANDOA HALALI KABISA...HATA ALLAH ANAWARIDHIA KABISA...
 
Nadhani Ile kukaa pamoja ndo sababu ya ndoa kuchelewa....Ila ikiwa kila mtu atakuwa peke yake nirahisi wazo hilo kuja haraka
 
Hili swala ni moja ya mmomonyoko wa maadili ya Kiafrika. Kuishi na mwanaume ilhal hajakuoa kwa mtoto wa kike ni kuwadhalilisha wazazi wako. Hata kama si waumini wa dini yeyote lakini ndoa ya kimila ipite.

Ndoa ya kimila hujumlisha mahari na vitu vingine.
Kuna makabila inabidi utoe
1. Blanket la bibi
2. Kitenge cha shangazi
3. Ugoro wa mjomba. (Pesa)
4. Sigara za baba wakubwa na wadogo (pesa)
Kukomboa ziwa la mama na usingizi wa Baba wakati anaelea.
 
Sijui kwanini kwakweli..?

Unakuta watu uhusiano wao una zaidi ya miaka miwili...
Wazazi wao pande zote zinafahamu upumbavu wao...
Wanaishi nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja kama mume na mke...ukiwaangalia haraka haraka utajua hawa ni halali...
Gharama zote za maisha wanazimudu wakiwa wawili...

Ukiwauliza ndoa vipi jamani...? WANAKUAMBIA MUDA BADO BHANAA....MAPEMA SANA ETY...

NINI SABABU HAWANA SABABU...WANAONGEA ONGEA MAHARAGE HARAGE TU...

NIMELILETA KWENU WANAJUKWAA TULIJADILI KWA KINA...

KIPI NI KIGUMU KWENYE NENO "NDOA"...? MAANA WATU WANAISHI MAISHA YA NDOA...ILA LINAKOSEKANA NENO HAWA NI WANANDOA HALALI KABISA...HATA ALLAH ANAWARIDHIA KABISA...
Mkuu haya yote sababu ni mikono yetu tu.yaani nguvu zetu.ndoa ni jambo rahisi sana mkuu.watu hawatambui urahisi wake mkuu.

Hivi mtu ambaye anapata daladala ya peke yake kutoka mbagala mpaka kigamboni tena hasimami,anafika na kutoka kwa wakati unadhani atakuwa na wazo la haraka la kununua gari la peke yake kwa ajili ya kuendea huko kigamboni mkuu?

Hivi mtu unapata maziwa ya lita moja freesh kwa bei ya buku tuuu,hivi unaweza kuwa na haja ya kutafuta ling'ombe ulifuge kwa ajili ya kupata maziwa tuu ambayo unayapata lita kwa 1000?

Sasa hiyo ndo inatufikisha hapa tulipo mpaka leo,eti pia wanasema wanasomana tabia???

Hivi hivi inakuwaje mtu unaenda kumchunguza kama anauza madawa ya kulevya wakati huo wewe ndo unamsambazia?
Yaani umeshajua kwamba huyu ndo namsambazia madawa alafu unataka kumchunguza kama anafanya biashara haramu ya madawa?

Yaani nakusudia kwamba mtu anakaa na mwanamke alafu anasema anamsoma tabia? Hili suala la kuzini bila ndoa si ndo katika tabia chafu ?
Sasa unaisoma nini na kila siku anakupa papuchi na wewe waila?

Hapo ndo mshajuana tabia ni mbaya kwa sababu kama anatabia nzuri kwa nini akupe uchi ilhsli bado ujamuoa?

Jee akimtongoza mwingine kwa lengo la kumchunguza tabia akampa,je wewe uliyeanza kumchunguza tabia mwanzo utalalamikaa?

Ukilalamika nitashangaa kwa sababu.

Ikiwa kakupa wewe papuchi ambaye hujamuoa vipi ashindwe kumpa mwingine ambaye hajamuoa pis na ana kisingizio kama chako?

Hapo ndo utaona kwamba kumbe hatujui tabia tunazochunguzana,watu wanazini alafu wanasema wanachunguzana tabia,hii tabia ya zinaa hawaioni?

Mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kukupa uchi kabla hujamuoa kwa sababu,mwanaume hana dhamana,hivi mwanamke unaempa uchi mwanaume kwa kisingizio cha kuoa unajihakikishia vipi katika hilo?

Mnyime uchii kama hana lengo akuache zako atakuja mwingine,sio kwenda na wakati kwa kutoa uchi kwa kila mwanaume atakaye kukuoa.

Tabia ya mwanzo ya kupimana ni zinaa.wanaopimana tabia wanajifanya hii tabia ya zinaa hawaioni,matokeo yake mmoja wapo akiskia mwenzie ana mtu mwingine analalama.

Sasa unalalama nini ilhali anafanya na wewe bila ya ndoa? Kitamzuia nini kufanya na yule bila ya ndoa?
 
Kwa vitu kama hivi am proud to be a muslim hatuna hizo mambo za ndoa za kimila hata ukitolewa mahari kama sheria au hukumu za ndoa hazijapita bado inahesabika mnazini mnafanya zinaa tu tena ya wazi

Ili ndoa ipite kiimani yangu lazima watu wafate taratibu kuanzia salam za barua mpaka swala zima la posa likamilike laweza pia mume akamaliza kutoa posa na akataka harusi hata siku hiyohiyo inaruhusiwa kabisa

Na lazima aozeshwe na walii wa mke (aweza kua ndugu wa kiume nikimaanisha kaka yake alievusha baleghe ndio hutoa idhini au baba yake mzazi) mahari ni hitaji la mke hata akisema nataka jogoo anapewa ndio mahari yake akisema kasemehe mahari anaozeshwa na haifai kuingilia uhuru wa mtu kuchagua mahari yake

Hii ni kwa imani yangu mwengine awwza ongezea.
Hili swala ni moja ya mmomonyoko wa maadili ya Kiafrika. Kuishi na mwanaume ilhal hajakuoa kwa mtoto wa kike ni kuwashalilisha wazazi wako. Hata kama si waumini wa dini yeyote lakini ndoa ya kimila ipite.

[emoji121]
MKUU,

UNA MAANISHA NDOA YA MKEKA AU?
 
Hili swala ni moja ya mmomonyoko wa maadili ya Kiafrika. Kuishi na mwanaume ilhal hajakuoa kwa mtoto wa kike ni kuwashalilisha wazazi wako. Hata kama si waumini wa dini yeyote lakini ndoa ya kimila ipite.

Ndoa ya kimila hujumlisha mahari na vitu vingine.
Kuna makabila inabidi utoe
1. Blanket la bibi
2. Kitenge cha shangazi
3. Ugoro wa mjomba. (Pesa)
4. Sigara za baba wakubwa na wadogo (pesa)
Kukomboa ziwa la mama na usingizi wa Baba wakati anaelea.
hahahhaahaaa,we kiboko. ntakutaka uwe mshenga wangu mwakani
 
Sijui kwanini kwakweli..?

Unakuta watu uhusiano wao una zaidi ya miaka miwili...
Wazazi wao pande zote zinafahamu upumbavu wao...
Wanaishi nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja kama mume na mke...ukiwaangalia haraka haraka utajua hawa ni halali...
Gharama zote za maisha wanazimudu wakiwa wawili...

Ukiwauliza ndoa vipi jamani...? WANAKUAMBIA MUDA BADO BHANAA....MAPEMA SANA ETY...

NINI SABABU HAWANA SABABU...WANAONGEA ONGEA MAHARAGE HARAGE TU...

NIMELILETA KWENU WANAJUKWAA TULIJADILI KWA KINA...

KIPI NI KIGUMU KWENYE NENO "NDOA"...? MAANA WATU WANAISHI MAISHA YA NDOA...ILA LINAKOSEKANA NENO HAWA NI WANANDOA HALALI KABISA...HATA ALLAH ANAWARIDHIA KABISA...

tatizo kubwa ni wazazi....wazazi wa siku hizi wamekuwa hovyo kabisa. wewe mzazi utaruhusu vipi mwanao wakiume au wakike aende kuishi na mpenzie nyumba moja bila kuwepo ndoa. mie bwana hilo mtoto wangu nitamwambia kabisa upuuzi huo sitaki. lakini wazazi wa sasa wamekaa tuu wanawatumbulia macho watoto wao wakifanya upuuzi.
 
Hili swala ni moja ya mmomonyoko wa maadili ya Kiafrika. Kuishi na mwanaume ilhal hajakuoa kwa mtoto wa kike ni kuwadhalilisha wazazi wako. Hata kama si waumini wa dini yeyote lakini ndoa ya kimila ipite.

Ndoa ya kimila hujumlisha mahari na vitu vingine.
Kuna makabila inabidi utoe
1. Blanket la bibi
2. Kitenge cha shangazi
3. Ugoro wa mjomba. (Pesa)
4. Sigara za baba wakubwa na wadogo (pesa)
Kukomboa ziwa la mama na usingizi wa Baba wakati anaelea.
umemaliza.........

mtoto wa kike anaishi na mwanaume kama ameolewa kwa zaid ya miez 6........

baadae akiachwa anatamani aolewe tena, really????........

mimi hata km nimetoa mahari,nikijua binti ashawahi kuishi maisha haya navunja huo uchumba fasta na mahari nawaachia!
 
Mkuu haya yote sababu ni mikono yetu tu.yaani nguvu zetu.ndoa ni jambo rahisi sana mkuu.watu hawatambui urahisi wake mkuu.

Hivi mtu ambaye anapata daladala ya peke yake kutoka mbagala mpaka kigamboni tena hasimami,anafika na kutoka kwa wakati unadhani atakuwa na wazo la haraka la kununua gari la peke yake kwa ajili ya kuendea huko kigamboni mkuu?

Hivi mtu unapata maziwa ya lita moja freesh kwa bei ya buku tuuu,hivi unaweza kuwa na haja ya kutafuta ling'ombe ulifuge kwa ajili ya kupata maziwa tuu ambayo unayapata lita kwa 1000?

Sasa hiyo ndo inatufikisha hapa tulipo mpaka leo,eti pia wanasema wanasomana tabia???

Hivi hivi inakuwaje mtu unaenda kumchunguza kama anauza madawa ya kulevya wakati huo wewe ndo unamsambazia?
Yaani umeshajua kwamba huyu ndo namsambazia madawa alafu unataka kumchunguza kama anafanya biashara haramu ya madawa?

Yaani nakusudia kwamba mtu anakaa na mwanamke alafu anasema anamsoma tabia? Hili suala la kuzini bila ndoa si ndo katika tabia chafu ?
Sasa unaisoma nini na kila siku anakupa papuchi na wewe waila?

Hapo ndo mshajuana tabia ni mbaya kwa sababu kama anatabia nzuri kwa nini akupe uchi ilhsli bado ujamuoa?

Jee akimtongoza mwingine kwa lengo la kumchunguza tabia akampa,je wewe uliyeanza kumchunguza tabia mwanzo utalalamikaa?

Ukilalamika nitashangaa kwa sababu.

Ikiwa kakupa wewe papuchi ambaye hujamuoa vipi ashindwe kumpa mwingine ambaye hajamuoa pis na ana kisingizio kama chako?

Hapo ndo utaona kwamba kumbe hatujui tabia tunazochunguzana,watu wanazini alafu wanasema wanachunguzana tabia,hii tabia ya zinaa hawaioni?

Mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kukupa uchi kabla hujamuoa kwa sababu,mwanaume hana dhamana,hivi mwanamke unaempa uchi mwanaume kwa kisingizio cha kuoa unajihakikishia vipi katika hilo?

Mnyime uchii kama hana lengo akuache zako atakuja mwingine,sio kwenda na wakati kwa kutoa uchi kwa kila mwanaume atakaye kukuoa.

Tabia ya mwanzo ya kupimana ni zinaa.wanaopimana tabia wanajifanya hii tabia ya zinaa hawaioni,matokeo yake mmoja wapo akiskia mwenzie ana mtu mwingine analalama.

Sasa unalalama nini ilhali anafanya na wewe bila ya ndoa? Kitamzuia nini kufanya na yule bila ya ndoa?
bad enough wakiachana anataka aje aolewe.......

aolewe na nani wkt uchi wako kuna jamaa anaweza hata kuuchora????...........

hili hata wanaume nao hatufai pia, yani umetembeza huko mpk unafika kwa mkeo chuma kimelegea kama mtu ulionyauka, et tunalalamika haturidhishwi, shwain kabisa............
 
Mkuu haya yote sababu ni mikono yetu tu.yaani nguvu zetu.ndoa ni jambo rahisi sana mkuu.watu hawatambui urahisi wake mkuu.

Hivi mtu ambaye anapata daladala ya peke yake kutoka mbagala mpaka kigamboni tena hasimami,anafika na kutoka kwa wakati unadhani atakuwa na wazo la haraka la kununua gari la peke yake kwa ajili ya kuendea huko kigamboni mkuu?

Hivi mtu unapata maziwa ya lita moja freesh kwa bei ya buku tuuu,hivi unaweza kuwa na haja ya kutafuta ling'ombe ulifuge kwa ajili ya kupata maziwa tuu ambayo unayapata lita kwa 1000?

Sasa hiyo ndo inatufikisha hapa tulipo mpaka leo,eti pia wanasema wanasomana tabia???

Hivi hivi inakuwaje mtu unaenda kumchunguza kama anauza madawa ya kulevya wakati huo wewe ndo unamsambazia?
Yaani umeshajua kwamba huyu ndo namsambazia madawa alafu unataka kumchunguza kama anafanya biashara haramu ya madawa?

Yaani nakusudia kwamba mtu anakaa na mwanamke alafu anasema anamsoma tabia? Hili suala la kuzini bila ndoa si ndo katika tabia chafu ?
Sasa unaisoma nini na kila siku anakupa papuchi na wewe waila?

Hapo ndo mshajuana tabia ni mbaya kwa sababu kama anatabia nzuri kwa nini akupe uchi ilhsli bado ujamuoa?

Jee akimtongoza mwingine kwa lengo la kumchunguza tabia akampa,je wewe uliyeanza kumchunguza tabia mwanzo utalalamikaa?

Ukilalamika nitashangaa kwa sababu.

Ikiwa kakupa wewe papuchi ambaye hujamuoa vipi ashindwe kumpa mwingine ambaye hajamuoa pis na ana kisingizio kama chako?

Hapo ndo utaona kwamba kumbe hatujui tabia tunazochunguzana,watu wanazini alafu wanasema wanachunguzana tabia,hii tabia ya zinaa hawaioni?

Mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kukupa uchi kabla hujamuoa kwa sababu,mwanaume hana dhamana,hivi mwanamke unaempa uchi mwanaume kwa kisingizio cha kuoa unajihakikishia vipi katika hilo?

Mnyime uchii kama hana lengo akuache zako atakuja mwingine,sio kwenda na wakati kwa kutoa uchi kwa kila mwanaume atakaye kukuoa.

Tabia ya mwanzo ya kupimana ni zinaa.wanaopimana tabia wanajifanya hii tabia ya zinaa hawaioni,matokeo yake mmoja wapo akiskia mwenzie ana mtu mwingine analalama.

Sasa unalalama nini ilhali anafanya na wewe bila ya ndoa? Kitamzuia nini kufanya na yule bila ya ndoa?
AKILI HIZI UTAZIKUTA KWA WAISLAAM TU...WENGINE HAYA HAWAYAJUI...WALA HAWAJULISHANI...
 
Kwa vitu kama hivi am proud to be a muslim hatuna hizo mambo za ndoa za kimila hata ukitolewa mahari kama sheria au hukumu za ndoa hazijapita bado inahesabika mnazini mnafanya zinaa tu tena ya wazi

Ili ndoa ipite kiimani yangu lazima watu wafate taratibu kuanzia salam za barua mpaka swala zima la posa likamilike laweza pia mume akamaliza kutoa posa na akataka harusi hata siku hiyohiyo inaruhusiwa kabisa

Na lazima aozeshwe na walii wa mke (aweza kua ndugu wa kiume nikimaanisha kaka yake alievusha baleghe ndio hutoa idhini au baba yake mzazi) mahari ni hitaji la mke hata akisema nataka jogoo anapewa ndio mahari yake akisema kasemehe mahari anaozeshwa na haifai kuingilia uhuru wa mtu kuchagua mahari yake

Hii ni kwa imani yangu mwengine awwza ongezea.
Na hiyo ndio dini ya amani...
 
Mkuu haya yote sababu ni mikono yetu tu.yaani nguvu zetu.ndoa ni jambo rahisi sana mkuu.watu hawatambui urahisi wake mkuu.

Hivi mtu ambaye anapata daladala ya peke yake kutoka mbagala mpaka kigamboni tena hasimami,anafika na kutoka kwa wakati unadhani atakuwa na wazo la haraka la kununua gari la peke yake kwa ajili ya kuendea huko kigamboni mkuu?

Hivi mtu unapata maziwa ya lita moja freesh kwa bei ya buku tuuu,hivi unaweza kuwa na haja ya kutafuta ling'ombe ulifuge kwa ajili ya kupata maziwa tuu ambayo unayapata lita kwa 1000?

Sasa hiyo ndo inatufikisha hapa tulipo mpaka leo,eti pia wanasema wanasomana tabia???

Hivi hivi inakuwaje mtu unaenda kumchunguza kama anauza madawa ya kulevya wakati huo wewe ndo unamsambazia?
Yaani umeshajua kwamba huyu ndo namsambazia madawa alafu unataka kumchunguza kama anafanya biashara haramu ya madawa?

Yaani nakusudia kwamba mtu anakaa na mwanamke alafu anasema anamsoma tabia? Hili suala la kuzini bila ndoa si ndo katika tabia chafu ?
Sasa unaisoma nini na kila siku anakupa papuchi na wewe waila?

Hapo ndo mshajuana tabia ni mbaya kwa sababu kama anatabia nzuri kwa nini akupe uchi ilhsli bado ujamuoa?

Jee akimtongoza mwingine kwa lengo la kumchunguza tabia akampa,je wewe uliyeanza kumchunguza tabia mwanzo utalalamikaa?

Ukilalamika nitashangaa kwa sababu.

Ikiwa kakupa wewe papuchi ambaye hujamuoa vipi ashindwe kumpa mwingine ambaye hajamuoa pis na ana kisingizio kama chako?

Hapo ndo utaona kwamba kumbe hatujui tabia tunazochunguzana,watu wanazini alafu wanasema wanachunguzana tabia,hii tabia ya zinaa hawaioni?

Mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kukupa uchi kabla hujamuoa kwa sababu,mwanaume hana dhamana,hivi mwanamke unaempa uchi mwanaume kwa kisingizio cha kuoa unajihakikishia vipi katika hilo?

Mnyime uchii kama hana lengo akuache zako atakuja mwingine,sio kwenda na wakati kwa kutoa uchi kwa kila mwanaume atakaye kukuoa.

Tabia ya mwanzo ya kupimana ni zinaa.wanaopimana tabia wanajifanya hii tabia ya zinaa hawaioni,matokeo yake mmoja wapo akiskia mwenzie ana mtu mwingine analalama.

Sasa unalalama nini ilhali anafanya na wewe bila ya ndoa? Kitamzuia nini kufanya na yule bila ya ndoa?
Ndg una akili sana, soon watakuita mlokole et unajifanya hutendi dhambi.
 
Back
Top Bottom