Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi hapa kunakuwa na Sintofahamu kubwa Sana, na pia ni wanawake Wachache Wanaoelewa Vizuri sehemu hii. Jukumu la mwanaume kwa mkewe /Mpenzi wake ni Kumpenda na kumfanya awe Happy muda...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nataka kuanza biashara
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Nimepanga kutokufanya mapenzi mpaka nitakapo kuwa nimeoa, mimi siyo bikira ila nataka usiku wa harusi yangu nijisikie nipo peponi sababu kama utafanya mapenzi na mpenzi wako auwezi kuenjoy...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kweli usiopingika kuwa wanawake mabonge (WENYE MISAMBWANDA) ni wanavutia uwaonapo kwa njee na kila wakipita basi kwa wanaume rijali lazima shingo ziwagauke...
13 Reactions
201 Replies
48K Views
Mda si mrefu mtapata aka anko wana jf lakini kabla sijaoa nilikuwa nasikia mwanamke akiwa mjamzito huwa anamchukia sana mwanamume aliyempa mimba inafika kipindi hataki ata kumuona. Lakini huyu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Duh! Inasikitisha sana. Chukulia kwamba enzi hizo ulikuwa ukisaka mke, hatimaye ukamuona binti ambaye kwa akili yako na moyo wako uliamini yeye ndiye tumaini la maisha yako, yeye ndiye haswaaa ktk...
11 Reactions
152 Replies
13K Views
Ndugu zangu wakubwa zangu msaada tafadhali wa mawazo yenu. Ninaye mpenzi wangu tumedumu katika mahusiano takribani miezi kama 7 lakini mimi binafsi siitaji tena kuendelea nae kimapenzi tatizo...
10 Reactions
143 Replies
13K Views
Kwa wale wenzangu wapenda watoto wakali na mambo yetu yale ya 6 kwa 6 kama mwaka huu umevuka salama bila kupata Ngwesi(Ukimwi) tuje tupongezane hapa, Binafsi siamini maana kuna mechi moja...
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakuu ,poleni kwa utafutaji, Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo. Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hey power girl She got a new hair style now. She just sexy. Am making eye contacts We outa class I follow up, hey pretty Am trying get in up her music ..its pop we sharing earphones..Damn I...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Utafiti wa mwaka 2011 ulionesha, Wanawake wengi hutoa sauti wakati wa tendo la ndoa si kwa ulazima. 66% ilionesha Wengi hutoa sauti ili kumuhamasisha mwenza wake, 87% wao hutoa kelele ili...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wanawake Tunaomba mtueleze ukweli weni... Bado kuna baadhi ya wanaume upoteza kujiamini kutokana na kauli za wanawake wanapokutana nao kimapenzi au hata kuwasikia Tu. Hivi Wanawake nyinyi...
2 Reactions
34 Replies
16K Views
Nikiwa baba wa familia ya watoto watatu,na mke mmoja niliyejaaaliwa na mwenyezi Mungu kumpata hakika sikuwahi kujutia kumchagua katika wengi niliowahi kuwaona,ilikuwa ni ndoa yenye furaha na amani...
61 Reactions
188 Replies
58K Views
Sjui najib nin wakuu... Uzi tayar.
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Nguo wanazovaa mademu siku hizi ni kiboko ,nikikaa zangu hapa kwenye kakibanda kangu ka kiepe nawapimia vile mistari ya chupi inavyojichora vyema kupitia kwenye makinikia yao, Yaani nguo zao za...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Looking for an ambitious wife Educated,Independent,Ambitious,Outgoing,Disciplined,Living in Dar es Salaam About me: Uneducated,non-independent,non-ambitious,undisciplined,poly-amorous, Living...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu zero Leo naaibika aisee niko zangu lodge tangu jana night na mtoto mkali , Kilichotokea ni kwamba tumespand hela zote aisee now niko mweupe ata buku mbili la nauli sina , Na sasa mrembo...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Nimemuota nimemtokea ila kanipa mtoso kama wa kilo zote hivi. Nilihuzunika sana, ila ghafla furaha ilirudi baada ya alarm kulia na kugundua ilikuwa ni ndoto. Ndio nataka nimtokee, ila nikikumbuka...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Niko saa la pili nambembeleza rafiki yangu kipenzi kwa yaliyomkuta Si mtumiaji wa pombe ganja au aina yoyote ya kilevi kusema kimpunguzie mawazo. Namuacha alie halafu nambembeleza kidogo, inafika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nataka nione wanao kubali lisemwalo na wanaokataa lisemwa Watch to attachment here
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Back
Top Bottom