Hivi wife material bado wapo

Hivi wife material bado wapo

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Nilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu

Nimemaliza chuo takribani miaka minne sana nimetafuta kazi nimepata. nimeanza kutafuta mwenza wa kushi nae pamoja kutengeneza familia pamoja.

Nimejaribu kwa muda mfupi ku date na watu nlidhani tungeweza tengeneza familia pamoja lakini nmekutana na hivi vitu

Siku hizi wanawake ndio wachokozaji au waombaji kufanya mapenzi na wanang'ang'ania tofauti na miaka 10 iliopita wanaume ndio tulikuwa wachokozaji

Ulevi

Yaani wanawake wanapenda harusi sana kuliko ndoa

Usaliti kuna dada mmoja sikujua kama ana mtu wake mpaka baada ya kudate kwa muda ndio nkagundua navamia mahusiano ya watu. nkaachana nae ijapokuwa amelazimisha sana tuendelee atamuacha mshikaji lakini mm nimegomea "ukipindua utapinduliwa na wewe hipo siku"

Yaani umri ndio npo 30 nimetazama huku kanisani ila nina mashaka sana sababu wadada wengi wanakuja sana kutafuta wenza wakipata wanarudia maisha yao ya zamani. na wapo ambao wameumizwa mioyo wametendwa sasa wameamua kuja kusaka mme, sasa inatia sana mashaka

Msaada wakuu namna gani ulimpata wife material wako ambae hupo nae nyumbani sasa ana watoto wako.

Na ninahitaji pia ushauri.

Muda wa kutafuta mwenza mitandaoni naona baado sana siwezi kufanya hivyo kwa sasa

Asanteni
 
Wewe endelea kuangalia madhaifu ya wenzako umauti utakukuta na ndoa hujafunga kabla hujamtafuta wife material wewe una uhakika husband material.
 
Sali na omba Mungu kuhusu hilo hitaji lako.
N kweli kutafuta mke sio jambo rahisi rahisi tu kwa bahati mbaya wengi wanaongozwa na kigezo cha mwonekano na umbo zuri,ndoa n zaidi ya hayo.

Endelea kuchunguza zaidi mwanamke atakayekufaa hasahasa awe mcha Mungu,mwelewa,mwny upendo wa dhati,muaminifu,muadilifu,mchapa kazi,mkarimu na muwazi.
 
Hapana si kuangalia madhaifu

Ukweli mahusiano yoyote yanajengwa na uaminifu na hamna udhaifu mbaya kama kuchepuka ni wachache wanaweza vumilia usaliti.

Kuhusu pombe Mimi sinywi na nilitaman sana mwenza ambae si mlevi sababu asilimia kubwa sana pombe inachochea sana usaliti.

Hivyo vitu mimi sifanyi na si sababu ya kuhukumu mtu kwa hilo.
 
Bado wapo ..ila hawapatikani pasipo kushirikisha uwepo wa Mungu

Endelea kuomba na kuamini kua ipo siku yule akufaae atakuja tu maishani mwako
kweli kabisa
 
Sali na omba Mungu kuhusu hilo hitaji lako.
N kweli kutafuta mke sio jambo rahisi rahisi tu kwa bahati mbaya wengi wanaongozwa na kigezo cha mwonekano na umbo zuri,ndoa n zaidi ya hayo.

Endelea kuchunguza zaidi mwanamke atakayekufaa hasahasa awe mcha Mungu,mwelewa,mwny upendo wa dhati,muaminifu,muadilifu,mchapa kazi,mkarimu na muwazi.
kweli wanaume tunaangalia sana Kuvutiwa na huyo mtu kwanza kabla ya kumfahamu
 
Nilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu

Nimemaliza chuo takribani miaka minne sana nimetafuta kazi nimepata. nimeanza kutafuta mwenza wa kushi nae pamoja kutengeneza familia pamoja.

Nimejaribu kwa muda mfupi ku date na watu nlidhani tungeweza tengeneza familia pamoja lakini nmekutana na hivi vitu

Siku hizi wanawake ndio wachokozaji au waombaji kufanya mapenzi na wanang'ang'ania tofauti na miaka 10 iliopita wanaume ndio tulikuwa wachokozaji

Ulevi

Yaani wanawake wanapenda harusi sana kuliko ndoa

Usaliti kuna dada mmoja sikujua kama ana mtu wake mpaka baada ya kudate kwa muda ndio nkagundua navamia mahusiano ya watu. nkaachana nae ijapokuwa amelazimisha sana tuendelee atamuacha mshikaji lakini mm nimegomea "ukipindua utapinduliwa na wewe hipo siku"

Yaani umri ndio npo 30 nimetazama huku kanisani ila nina mashaka sana sababu wadada wengi wanakuja sana kutafuta wenza wakipata wanarudia maisha yao ya zamani. na wapo ambao wameumizwa mioyo wametendwa sasa wameamua kuja kusaka mme, sasa inatia sana mashaka

Msaada wakuu namna gani ulimpata wife material wako ambae hupo nae nyumbani sasa ana watoto wako.

Na ninahitaji pia ushauri.

Muda wa kutafuta mwenza mitandaoni naona baado sana siwezi kufanya hivyo kwa sasa

Asanteni
wapo Mungu akufanyie njia
 
Back
Top Bottom