Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Guys wapi raia wema wa magu wanaoishi au walioishi wilayani Igunga tujuane
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza, inakuwaje mtu mzima na akili zake akifumaniwa anapoteza nguvu? unaweza kuta jamaa la miraba minne limewekwa chini na kajamaa kadogo tu, hii imekuwa kinyume kabisa na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa.. 1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha? 2.Akiwa blid...
3 Reactions
108 Replies
10K Views
Kibiolojia tendo la ndoa ni tendo linalotumia energy nyingi sana. Kitendo cha kupiga bao moja energy inayotumika ni sawa na kukimbia viwanja vya mpira kumi. Ki msingi ...tendo la ndoa nilnaunguza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu... Kwa sasa nipo katika hatua za awali katika kuandaa andiko fulani juu ya familia na makuzi ya watoto na nimejikuta nahitaji kujua ni vitu gani hasa wanawake huwa wanavihitaji...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau wasalam,kuna mdada nimetokea kumpenda mnoo nimehangaika sana kumyafuta amekuwa akinidharau hivo nimeamua kufunga siku 30 nikiisali ndoto yangu itimie nimempenda kwa dhati mno.naombeni...
8 Reactions
94 Replies
7K Views
Najua kila mmoja wetu yupo katika mahusiano. Mahusiano ambayo licha ya kuwa na furaha ndani yake lakini vile vile huwa kuna maumivu na mateso makali sana. Wengi ni waongo, wasaliti na hawajali...
6 Reactions
205 Replies
17K Views
natafuta mwanamke .wa kuondoa upweke Lonely I'm so lonely I have nobody To call my own I'm so lonely, I'm Mr. Lonely I have nobody To call my own I'm so lonely
0 Reactions
16 Replies
1K Views
My husband is an Engineer by profession, I love him for his steady nature, and I love the warm feeling when I lean against his broad shoulders. Three years of courtship and now, two years into...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Za mchana viongoz..leo ndo nmeanza likizo yangu..sasa kama kawaida kuna mdada hua anakuja kufanya usafi, nampigia sim anakuja,..ingawa pia jana nilimwambia beibe aje kuanzia jion Cha ajab amekuja...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Aisee mapenzi matamu sana lakini mkichokana bhasi inafika hatua mpenzi wako anaweza kukutafutia sababu au kisa cha kijinga Unaona kabisa Huyu lengo lake tuachane...!! Mfano kuombwa hela wengine...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mkongwe humu ila nimebadirisha ID nipate kuwa huru juu kuandika nilichoandika. Nimekuwa katika mahusiano na binti flani kwa miaka minne kwa sasa. Mimi ndiye niliyemzindua na katika kipindi...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Twende moja kwa moja, ni haya.. 1.Oa mwanamke anayekupenda sana. 2.Oa mwanamke mwenye upeo wa kati wa kufikiri ili umkamilishe wewe. 3.Usioe mwanamke wa kisasa, na asiwe mshamba sana, ila...
36 Reactions
54 Replies
6K Views
My personal experience imenifikisha kwenye conclusion hii...kuwa wanaume wa Dar wanapewa lawama za bure khali ukweli wa mambo wao ni waanga wa kimazingira tu. Nimeishi kwenye maeneo yenye baridi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unamuona manzi for the first time na unamkubali kiukweli. Unafanya michakato ya contacts kama mzaha unazipata, mnachat mdogo mdogo baada ya wiki kadhaa mazoea yanakua unampa ya moyoni anakwambia...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya date mbili tatu na jamaa ninadhani nilishinda test niliambiwa J2 nijiandae tunakwenda kwa mama nilifika nikakaribishwa kwa mapokezi makubwa. Mama alishapika chakula ilikuwa ni muda wa...
44 Reactions
388 Replies
46K Views
Hahahahahhahah!! Acha nicheke kwanza..... Mangi Mimi, mjinga sanaaa. Unajua hii hali hunitokeaaa sana, sasa huwa ninajiuliza ni mimi peke angu ama? Baada ya mechi ya kwanza, nikiwa nimetulia...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya musa.... "Weekend jamaa zangu walinitoa nikanywe mitaa flani hivi club ya ukweli.kuna machangudoa wakali sana si hawa wa uswazi. Nikanywa sana baadaye kumbe network ilikuwa...
7 Reactions
83 Replies
11K Views
Hivi wake zetu mnapoomba likizo ya kwenda kwenu kusalimia huwaga mnakusudia likizo kivipi...yaani kwenye ndoa mlikuwa mnafanya kazi au...? Au vile mnaishi huku na kwenu mkienda likizo hapana...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini wapendwa. Nina jambo linaniumiza sana naombeni ushauri. Ninaishi na mwanaume mwaka wa pili sasa unaenda. Naombeni msinihukumu kwanini naishi bila ndoa, nilipitia changamoto kubwa sn...
8 Reactions
107 Replies
13K Views
Back
Top Bottom