Jamani mm sijawai kuigiziwa kwenye mapenz kuwa napendwa bila kujua.
Akiigiza huwa najua tu,
Na huwa natambua hilo kwa pande mbili;
kuangalia tabia yake anayoonesha kwangu, au sexual behaviour yake...
Naam,habari za mwisho wa juma wakuu,leo nimekumbuka moja kati ya siku ambayo itakua ngumu sana kuisahau ktk maisha hususani nikikaa na kukumbuka purukushani za ujana hasa likija suala la kusaka...
Mapenzi ni ubunifu, unaweza ukaona kitu kidogo lakini kitu hiko ukikifanya kwa mlango wa mapenzi kinakuwa kikubwa na hakiwezi kusahaulika kirahisi kwa mwenza wako. ukizungumzia mapenzi watu weusi...
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?
Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi...
Maelezo yangu:
Nimefanyia utafiti wa muda mrefu "iliposemekana" mwanamuziki Nandy kamuachilia aliyekua mpenzi wake Billnas amuingizie vidole njia ya haja kubwa. Na haya ndiyoniliyobaini:
A...
HABARI ZA IJUMAA wakuu poleni na mihangaiko ya kimaisha
mdogo wenu nina matatizo nahitaji ushauri wenu mdingi wangu anapiga sana p0mbe yaani akipata pesa yeye na pombe pombe na yeye tena kama...
Za leo wakuu, napenda kuuliza ni mambo gani yatakanayo kufanywa na mwanume ili kuwa romantic kwa mwenzake. Noambeni ushauri maana hili swala limekuwa tatizo sana kwenye uhusiano wangu na wife...
Habari wakuu, ID hii ni mpya lakini mimi ni mwenyeji humu ndani, nimeamua kutumia ili kuepusha baadhi ya mambo.
Wakuu naamini ushauri wenu utanisaidia sana ndio maana nipo hapa. Ipo hivi:
Mwezi...
Unajua wanaume mpaka tukapewa ruhsa na allah tuoe zaidi ya mke mmoja...anajua tuna uwezo wa kulimudu hilo kama wanaume...
Ila inahitaji uadilifu wa hali ya juu uweze kufurahia ndoa na uishi kwa...
habari wadau!
siku hizi mambo ya michepuko ya mepamba moto sana,unakuta mtu ameoa ndoa hajamaliza hata mwaka lakini unakuta ana michepuko kibao,wakati mwingine tabia hiyo hupelekea hata ndoa...
Habari zenu wana jamvi.
Leo nimeshuhudia kisa cha tetea mmoja aliyepigwa mtungo na majogoo sita yaliyoshiba!
yani katetea ndo kanapevuka,kame pigwa mtungo hadi kamekunya mavi.Sasa nimebaki...
Kuna Jamaa kanipa story jinsi mahusiano yanavyomuendea ni kwamba jamaa akitongoza mwanamke akataliwi yani anakubaliwa mapema sana lakini tatizo linakuja wakianza mahusiano.
Baada ya siku tatu au...
We are three brothers from different mother,it's a bond brought by a friendship of more than a years
Shida inakuja unapomkopesha mtu pesa unajua kabisa kaingiza pesa afu longolongo inaanza...
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa za kuwa mke.
Sifa zangu:
Umri 28
Dini mkristo
Mengine pm
Sifa za nimtakaye:
Awe chini ya umri wangu .
Sichagui dini.
Awe anajitambua .
Kwa aliye tiyari...
Nina uhakika hili tukio lililotokea huko nchini Ujerumani kama litazingatiwa na kuigwa na Wanawake wengi wa Kiswahili / Kitanzania basi Wanaume wengi ' tutafungwa ' Jela na kama pia Mahakama...
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,mama yangu ana miaka 46 na amefanikiwa kuwa na watoto wanane(wanaume 4 na wanawake 4).
Baba yangu alifariki 2014 hivo tukabaki na mama tu,lakini Dada...
Wakuu mimi huwa niko serious kwenye mambo hygene mwenzangu anakauvivu fulani hivi,kipindii cha mwanzo tulipokutana alikuwa na niseme ukwelii hajijali sana.
Mimi nikafikiri ni mila za makabila...
Wakuu,
Mke wangu ni mlokole sana, yani kupitiliza mpaka kunyonya mgegedo anasema eti ni dhambi. Hajawahi na wala hana mpango wa kunyinyonya japo mi huwa napenda.
Tokea muda mrefu sana nawish...
Nilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu
Nimemaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.