AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Zamani nilikuwa sielewagi kwanini ndugu au wazazi walikuwa hawapendi uwarudie nyumbani usiku...nilikuwa naona kama wananibana bana tu...
Sasa hivi mimi nina kwangu...kwanza sipendi kutembea usiku bila sababu ya msingi...ule uhuru nilikuwa nautaka hata siutumia sasa hivi...
Pili ninaishi na mdogo wangu fulani hivi kwa muda kidogo...yaani anapenda kukaa kwangu kwakuwa anarudi anavyotaka...sasa ana tabia ya kurudi usiku sana 5 kwenda juu...
HII TABIA INAKERA SANA...
AU WENZANGU NIGHT KALI FRESH TU KAMA ZAMANI..?