Ujue huu mshahara ndiyo wa xmas, boxing day, mwaka mpya, watoto wa shule (ada, uniform, madaktari nk)Ni kweli mshahara umesoma au naona nini hii? .nani tukale maisha bata maana huu mwezi ni bata tuuuu
ushauri mzuritunakukumbusha tuu, mshahara huu huu!
1, utatumika xmass na boxing day
2, utatutumika new year
3, utatumika kulipia ada za watoto (kama wapo)
4, utatumika kununua vifaa vya shule watoto (kama wapo)
5, itabidi utumika kufika tarehe 26 mwezi ujao
so taadhari mapema mzee