Jinsi ya kumwambia mke wangu avae cheni kiunoni

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wakuu,

Mke wangu ni mlokole sana, yani kupitiliza mpaka kunyonya mgegedo anasema eti ni dhambi. Hajawahi na wala hana mpango wa kunyinyonya japo mi huwa napenda.

Tokea muda mrefu sana nawish kumuona mke wangu akiwa amevaa cheni kiunoni huku nakula mzigo wangu taratiiiibu ila changamoto ni kwamba nitaanzaje kumwambia avae?

Kuna mbinu moja nilitaka kutumia, ya kumuonyesha picha za x ambazo mwanamke kavaa then nimwambie ajaribu nayeye kuvaa. Lakini sababu ya ulokole wake nikimuonyesha hataki kuangalia anasema siku hizi nina mapepo. Basi hapo akiwa kwenye maombi yake ya kulala usiku lazima anitaje kama mara elfu moja hivi kwamba Mungu aniokoe.

Wakubwa wa hizi kazi mnishauri ntawezaje kumbana huyu mlokole avae cheni kwanjia za kidiplomasia.
 
Baadhi ya vitu ni utamaduni
,so ningumu sana kumwambia kitu ambacho hajazoea kama kuvaa shanga,ila hilo lingine kazi kwenu maybe anze ww kwanza......
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah! Yawezekana kweli una mapepo ila kwann usiokoke tu ukaenda nae sambamba?
Unamkatia mikato ya kidini mpaka akuelewe na kuelewa somo
 
Mletee ka mbwa uliko kavalisha chain..afu umwambie na wewe nataka uwe kama haka
naijatwittersavages-20181219-0001.jpeg
 
Kwani wakati unamuoa hukujua kama ni mlokole?? Maisha ni kuchagua umemchagua mlokole kua mpole
 
Wakuu,

Mke wangu ni mlokole sana, yani kupitiliza mpaka kunyonya mgegedo anasema eti ni dhambi. Hajawahi na wala hana mpango wa kunyinyonya japo mi huwa napenda.

Tokea muda mrefu sana nawish kumuona mke wangu akiwa amevaa cheni kiunoni huku nakula mzigo wangu taratiiiibu ila changamoto ni kwamba nitaanzaje kumwambia avae?

Kuna mbinu moja nilitaka kutumia, ya kumuonyesha picha za x ambazo mwanamke kavaa then nimwambie ajaribu nayeye kuvaa. Lakini sababu ya ulokole wake nikimuonyesha hataki kuangalia anasema siku hizi nina mapepo. Basi hapo akiwa kwenye maombi yake ya kulala usiku lazima anitaje kama mara elfu moja hivi kwamba Mungu aniokoe.

Wakubwa wa hizi kazi mnishauri ntawezaje kumbana huyu mlokole avae cheni kwanjia za kidiplomasia.
mkuu, kwanza shukuru umepata mke anakuombea kwa Mungu ili Neema ya Wokovu ikushukie............

asikudanganye mtu, wokovu ni mzuri sana aiseeee........ yan hakuna kitu kizuri na kitamu kama wokovu ulio katika Kristo Yesu!!!!!.......

kuhusu hilo la cheni, nadhan halina umhimu, na yupo sahihi kukataa....... maana kama hakuridhishi si mnaongea kiutu uzima? mnasaidiana ili wote mfurahie tendo maana Mungu aliumba hili tendo ili tu-enjoy!

kuhusu kumwonesha picha za X wala usithubutu kumdharau mkeo kiasi hicho, yani umfananishe na hao wacheza uchafu?, acha dharau.........

again, mkeo anakupenda sana bro, mpk kukuombea sio kitu cha mchezo!! yani anaacha usingizi wake ili akuombee wewe? upendo wa ajabu sana huo!
 
Hakuna ulokole kwenye ndoa. Endelea kunshawishi kama ulivyokuwa unafanya wakati unamtongoza. Na ikibidi anza wewe kumfanyia hayo mambo halafu muulie anajisikiaje? Akijisikia raha atarudisha fadhila.
 
Wakuu,

Mke wangu ni mlokole sana, yani kupitiliza mpaka kunyonya mgegedo anasema eti ni dhambi. Hajawahi na wala hana mpango wa kunyinyonya japo mi huwa napenda.

Tokea muda mrefu sana nawish kumuona mke wangu akiwa amevaa cheni kiunoni huku nakula mzigo wangu taratiiiibu ila changamoto ni kwamba nitaanzaje kumwambia avae?

Kuna mbinu moja nilitaka kutumia, ya kumuonyesha picha za x ambazo mwanamke kavaa then nimwambie ajaribu nayeye kuvaa. Lakini sababu ya ulokole wake nikimuonyesha hataki kuangalia anasema siku hizi nina mapepo. Basi hapo akiwa kwenye maombi yake ya kulala usiku lazima anitaje kama mara elfu moja hivi kwamba Mungu aniokoe.

Wakubwa wa hizi kazi mnishauri ntawezaje kumbana huyu mlokole avae cheni kwanjia za kidiplomasia.
Si unanunua cheni utakayo kisha mkiwa faragha unamvisha? Mbona ni simple?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom