Nashukuru nimepeata somo la kujifunza huu mwaka

Toragamaganza

Senior Member
May 28, 2016
119
94
We are three brothers from different mother,it's a bond brought by a friendship of more than a years

Shida inakuja unapomkopesha mtu pesa unajua kabisa kaingiza pesa afu longolongo inaanza

Sikopeshi tena pesa nyingi kwa mtu yoyote ndo somo nimepata,nitakopesha tu pesa kidogo ambayo atakama hisiporudi hainiumizi.
 
Pesa mingi sh ngapi mkuu? ungeweka kiasi tukushauri.
 
We are three brothers from different mother,it's a bond brought by a friendship of more than a years

Shida inakuja unapomkopesha mtu pesa unajua kabisa kaingiza pesa afu longolongo inaanza

Sikopeshi tena pesa nyingi kwa mtu yoyote ndo somo nimepata,nitakopesha tu pesa kidogo ambayo atakama hisiporudi hainiumizi.
Bado tu unampango wa kukopesha kwan wanalipa kwa riba!
 
Pesa haina adabu,ukiiweka mkononi tu makubaliano yote ya awali yanabadilika.
 
Matatizo haya duh kuna mtu nilimkopa pesa sasa nimepata Matatizo inabid hapa tena nimpige karenda sijui atanielewa...
 
Back
Top Bottom