Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Jamani mm sijawai kuigiziwa kwenye mapenz kuwa napendwa bila kujua.
Akiigiza huwa najua tu,
Na huwa natambua hilo kwa pande mbili;
kuangalia tabia yake anayoonesha kwangu, au sexual behaviour yake (anavyo nichukulia wakati wa kufanya sex)
Na kupenda sana nisipopendwa huwa sinaga hata awe mzuri kama Rihanna.
Nini shida, unakuja kudai umeumizwa?
Wanaume wenzangu kwani huwa mnakwama wap mbona sielewi?
Alafu nlisikia kwa mtu furani anaefatilia mambo ya mahusiano kuwa, wanaume wenye tamaa za kubadili badili wasichana ndio hao huwa wakinaswa wanapenda sana na wakiachwa ni kilio tu, kuna ukweli?