Wanaume: Mvua zinanyesha usiku tu?

Wanaume: Mvua zinanyesha usiku tu?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?

Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"

Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia

Hivi mvua zinanysha usiku tu?
 
Sasa mvua inahusiana vipi na kupigiwa?

Sijaelewa kabisa.
 
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku?

Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi wakiwapgia sim wapenzi wao muda wa usiku wanadai mvua inanyesha,wanasema "Nitafute asubuhi"

Halafu haka kamchezo karibia wanaume wengi wanakatumia

Hivi mvua zinanysha usiku tu?

mambo ya kuongea na simu muda wa promotion wanaweza watoto wa sekondari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom