AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Unajua wanaume mpaka tukapewa ruhsa na allah tuoe zaidi ya mke mmoja...anajua tuna uwezo wa kulimudu hilo kama wanaume...
Ila inahitaji uadilifu wa hali ya juu uweze kufurahia ndoa na uishi kwa amani baina yako na wake zako...
Wengi wao hukurupuka kwa matamanio...na wakiwa hawana uadilifu wowote...mwisho wa siku ndoa inakuwa chungu...alafu baadae unawafanya wanawake wazichukie hekma za mola wao kuwapa ruhsa waume zao kuoa zaidi ya mmoja...
Hebu leta experience ya mtu ambaye ana mke zaidi ya mmoja na anafurahia ndoa...
Na experience ya mkurupukagi ndoa hiyo imemtokea puani...
Uadilifu uadilifu...