Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

_Hivi ninyi mna akili kuliko Muumbaji mwenyewe...?_ _Hivi Muumbaji alipoassign duties...akampa majukumu mwanaume ya KULA KWA JASHO...KUTAFUTA AILISHE NA AITUNZE FAMILIA YAKE...YAANI MWANAUME YEYE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Umejipangaje mtoko wa kesho ? Utatoka na nani ? Umejiandalia pocket money ya shilingi ngapi? Binafsi kesho niko tu gheto na mtoto mkali atapika tukimaliza kula tu ndio muda wa kumla mpishi mpaka...
9 Reactions
194 Replies
10K Views
Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda Na ni mtu wa dini, kituko unaweza ukamuacha kisa hana...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Katika maisha ya kilasiku walevi hudharauliwa sana huonekana hawana mana Zaidi watu wa dini huona ulevi Kama chukizo kubwa kwa Mungu. Wakati ambapo ubinafsi ,Kiburi na kutamani huachwa tu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu. Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
1 Reactions
44 Replies
3K Views
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hbr za asubuhi Leo nimepata bahati ya kuachwa na kimada mmoja hivi mchunaji wa kimataifa Sasa baada ya kitu na kukikosa akaamua kuvunja ukimya na kuvunja mahusiano. Basi nimejiskia raha sana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
BY CAPITAL LIFESTYLE. There are certain “special” occasions that would make a man want to run away from his girlfriend or wife because of the expectations from his beautiful lass. Such occasions...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hali si hali wandugu hapa, Ni hivi, nina mpenz wangu but yupo mbali sana, so kutokana na ukame nikakutana na binti mmoja hivi mrembo hasa, nikatupia ndoana akaingia tukaanza mahusiano na...
17 Reactions
250 Replies
24K Views
Nahitaji sababu za ' Kitaalam ' kabisa kwamba ni kwanini Wanaume wengi huweza kufika Mshindo ( Kupiga Mabao ) kwa haraka na bila matatizo kwa Mabao ya Kwanza na ya Tatu ( Tasa ) lakini Mabao ya...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu hasa Wa Dar, harusi itakuwa Kinondoni/Mwenge,je ni maeneo gani mazuri karibu na Kinondoni/Sinza/Mwenge ambayo naweza pigia picha za harudi yangu j2 hii ijayo ? Iwe ni garden
0 Reactions
15 Replies
6K Views
......Miaka 14 nyuma toka Sasa,niliachana na girlfriend wangu mpya Kisa Alikuwa Ana MAJI Sana kule Bondeni.....Kila akitafuta kwa simu nilikuwa simjibu SMS zake na pia Sipokei Calls Zake. Dah...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ushawahi kufanya/ kufanyiwa safari ya ghafla na mpenzi wako bila kukitarifu juu ya ujio wake. Je ilikuwaje na ulikuta nini?
2 Reactions
133 Replies
18K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana........ Natumai mko vizuri na maandalizi ya sikukuu ya Xmas an Mwaka Mpya......!! Hongera kwa kila mmoja kwa kupambana na hali zenu kila mtu kwa uwezo wake...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Hi MMU...! Maumivu niliyopitia jana leo yanakuwa darasa huru ktk maisha yangu. Jana nilipong'atwa na nyuki nikajitutumua kufikicha maumivu, kumbe maumivu ndo yanaongezeka na nundu ndo linavimba...
26 Reactions
65 Replies
9K Views
Post deleted
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello guys Kwa kweli nikialikwa kwenye sherehe na ndugu zangu naenda ila huwa nakereka sana rohoni natamani hata wasingenialika, wakinipigia simu niwatembelee huwa sipokei simu zao, kama msaada...
6 Reactions
70 Replies
8K Views
Polen na majukumu ya ujenzi wa taifa letu tz Naingia madani moja kwa moja Mwenzenu nimetunukiwa na mwenyez mungu watoto pacha wa kike apo tar 30/3/2018 SAA 3 ucku Naomben msaada wa majina 2...
3 Reactions
126 Replies
46K Views
Kiukweli naandika kwa masikitiko sana. Toka muda huyu mchuchu nilikuwa nahisi kama kuna kitu hakiko sawa. Sasa badala ya uchunguzi wangu wa kiintelijensia nikamfuma yuko na mchina. Sasa nimeongea...
8 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…