Huyu mwanamke ni mpumbavu

Huyu mwanamke ni mpumbavu

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".*

_1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. *Wewe ni MPUMBAVU*._

_2. Kukubali kuwa MCHEPUKO. *WEWE NI MPUMBAVU*_

_3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui. *WEWE NI MPUMBAVU!*_

_4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo. Hata mpango wa maisha ya baadae na wewe hana. *WEWE NI MPUMBAVU.*_

_5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikra), mwanaume ambaye HATA ajatoa pesa ya mahari ili kidogo kujihakikishia ndoa. *USHAKUWA MALAYA TAYARI.*_

6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo, baadae waenda kujituma kitandani kabisa kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye si mume wako. Na wakati huo yeye anakwambia " ATAKAYEKUOA ATAPATA RAHA SANA.". *HILO ULILOBEBA JUU YA SHINGO YAKO SIO KICHWA NI BOX TUPU, LIMEOTA UKUNGU TU WA FUNGI UKADHANI NI NYWELE.*

7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye hata wazazi wako hawamjui.

8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu wakati anakutongoza amekuambia atakuoa.

_9. Unavaa mavazi ya ajabu ajabu yasiyokusitiri na kukupa heshima ukadhani Unawavutia wanaume wenye heshima zao wanaweza kukutangazia ndoa...my friend unajidanganya...! *WEWE NI MPUMBAVU*, utawapata hao hao akina CALISA na DIAMOND._

*NARUDIA SEMA HIVI..."MIMI NI MPUMBAVU TENA NI BOMU KABISA...!"*
UKISHAJIITA MPUMBAVU HAITOSHI...TUBU KWA MOLA WAKO...ALAFU BADILIKA...KUWA MTU MWENYE MUNGU NDANI YAKO...ACHA KUJIRAHISISHA...
 
na mama yako pia maana naye ni mwanamke
 
Hiyo no6 mkuu ungeipunguzia ukali wa maneno.
 
namba 2 huwa wanadhani wamemwezea mwanaume kwa kuwa mkewe hamkidhi haja tena hà hà hà haaa wakija kushtuka bado wanafichwafichwa km digidigi wenyewe wanabwaga manyanga mbaya zaidi muda hauwasubiri...
 
Back
Top Bottom