Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
 
Mkuu embu achana na hizo sifa za mzur wa sura, anajua kuongea English vizur, shape nzuri kwenye kufanya maamuzi ya kuoa huwa hatuangalii hizo sifa mwanamke ni tabia njema awe ana heshima na kufata misingi yote kama mama wa nyumba
 
Ni sawa tu kwa umri huo ni mtu mzima, Lakini hakikisha unampa mapenzi heavy otherwise utasaidiwa sana halafu atakuwa ajakula ujana vizuri.
 
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Utofauti ya umri huo sio shida kabisa, mm pia mke wangu nimempita kwa miaka 8 hiyo hiyo
 
Ni sawa tu kwa umri huo ni mtu mzima, Lakini hakikisha unampa mapenzi heavy otherwise utasaidiwa sana halafu atakuwa ajakula ujana vizuri.
Mkuu naomba nikuweke sawa amesema binti ana miaka 8 ila yeye ana miaka 26 kwa iyo amemzidi mdada miaka 8
 
Mbona hapo hamna tusi unafikiri Kutoa mtu bikra ndo guarantee ya kidumu. Lazima nikwambie ukweli mchungu mpaka siku moja unikumbuke. Huyo atakichoka kibamia chako then ndoan atakuwa na hamu ya kuonja tofauti tofauti
Sister nakuheshimu sana, nimeomba ushauri sio matusi, kama huna cha kukomenti ni heri ukae kimya tu usome komenti

CHUNGA SANA LUGHA YAKO,
 
Mbona hapo hamna tusi unafikiri Kutoa mtu bikra ndo guarantee ya kidumu. Lazima nikwambie ukweli mchungu mpaka siku moja unikumbuke. Huyo atakichoka kibamia chako then ndoan atakuwa na hamu ya kuonja tofauti tofauti
Hakika aanachofikir ma**** ndicho anachokiandika.... ni dhahiri kabisa mtaji wako ni kwasababu huna akili
 
Back
Top Bottom