HAKUNA WATU WENYE UPENDO NA USHIRIKIANO KAMA WALEVI

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
NAZUNGUMZIA ULEVI WA AINA YOYOTE...UWE NI ULEVI WA POMBE, ZINAA, DAWA ZA KULEVYA N.K.

NI NGUMU KUMUONA MLEVI WA JAMBO FULANI AKIMSAIDIA MTU KATIKA JAMBO LA WEMA JINGINE...ISIPOKUWA UMOJA WAO NI KWENYE ULEVI WAO TU...

MFANO MLEVI WA POMBE ANAWEZA KUKUNUNULIA HATA KRETI LA POMBE...LAKINI HAWEZI KUKUPA HELA UKANUNUE UNGA AU AKUNUNULIE SODA...

VIVYO HIVYO KWA WAZINIFU...MPAKA GETO WANAAZIMANA MRADI AFANIKISHE GEGEDO LA MWENZAKE...ILA KWENYE HARAKATI ZA NDOA WATAKIMBIANA...
 
Hahahahaha
 
me ni mlevi wa pesa, mlevi mwenzangu njoo lakini kwangu hulambi hata 10.

Bora ukafie mbele huko.
 
NAZUNGUMZIA ULEVI WA AINA YOYOTE...UWE NI ULEVI WA POMBE, ZINAA, DAWA ZA KULEVYA N.K.

NI NGUMU KUMUONA MLEVI WA JAMBO FULANI AKIMSAIDIA MTU KATIKA JAMBO LA WEMA JINGINE...ISIPOKUWA UMOJA WAO NI KWENYE ULEVI WAO TU...

MFANO MLEVI WA POMBE ANAWEZA KUKUNUNULIA HATA KRETI LA POMBE...LAKINI HAWEZI KUKUPA HELA UKANUNUE UNGA AU AKUNUNULIE SODA...

VIVYO HIVYO KWA WAZINIFU...MPAKA GETO WANAAZIMANA MRADI AFANIKISHE GEGEDO LA MWENZAKE...ILA KWENYE HARAKATI ZA NDOA WATAKIMBIANA...
Hawana upendo zaidi ni ujinga . Wanasaidiana kwenye pombe Ila mambo muhimu hawasaidiani
 
Wavuta sigara funga kazi..
Hawa wa pombe hadi wawe wamelewa..
Hawa wazinzi hadi kuwe na dalili za kupiga mtungo..

Wavuta sigara wanakutana barabarani hawajuani wala hawajawai kuonana wanasimama wanavuta sigara kila mmoja anaendelea na safari yake..alaf mara nyingi huwa hawaagani wakiagana sana utaskia sasa poa..
 
Kweli
 
Hivi unanzaje kuchangia sigara, wakati unaona kabisa jamaa alikuwa anaivuta na mdomo wake una vidonda vidonda.
 
Back
Top Bottom