Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa kwa mtoto Yesu ambaye ni mwokozi wa ulimwengu na dhambi zao.

Ila cha ajabu hakuna siku ambayo vijana wetu ndani ya mwaka huu wamefanya uchafu wa kila aina.....ikiwemo kungonoka kama jana kuanzia saa 12 hadi alfajiri ya leo.

Najaribu kujifariji sex ni hitaji kubwa kabisa la kila kiumbe kama ilivyo kula na kuvaa Ambalo licha ya mafundisho na makalipio bidamu lazima ajikute amekula au ameliwa mzigo .
 
Mkuu badili hapo 'makadirio' na 'dhambi'..!!
 
Ngoja tuone kama ni kweli...

Acheni kujiendeleza... basic need ni chakula, malazi na mavazi... vingine ni nyongeza...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom