Ninaanzaje kukukubali?

Beauty Eva

Senior Member
Jul 22, 2016
131
374
Kijana Shabab kabisa. Unapaka poda, unalegeza sauti na kuongea kama mwanamke. Mwili unaulegeza kama mwanamke.

Outing unakula soseji moja na nusu glasi ya juisi, halafu unajitia huwezi kumaliza.

Maongezi yako yote, ni kujisifia. Gari unaloendesha umeazima..Lol

Mwanaume unatakiwa ujiamini. Ishi kiume, kupretend waachie wanawake.

Kama huna kitu, ndo hali yako.Ila onesha namna unavyoweza kupambana na hatimaye kupata matokeo.

Ninyi wanaume wa Dar vipi?
 
Kwel aiseh itabid nikupm maana mi ni zaidi ya mgumu
 
Umekutana na shouugeerrr shostii
Babyy umekunwa palipo stail !!!
08207ced1acb65a76bf14eef917713ad.jpg

Umekutana na shouugeerrr shostii
 
Babyy umekunwa palipo stail !!!
08207ced1acb65a76bf14eef917713ad.jpg
Aaahh,,kanichekesha tuuu kuna mkaka juzi alikuja home kurudisha kitu flan waliazima,ni majirani tuu,sasa akanikuta mm looh mpaka nikajihisi mm mwanaumee yaani hicho kitu alichokua amekirudisha hiyo slain yake uuwiii sasa ndio hawa hawa wakula sotheji nusu nakuacha mweh..halafu ni wale wa s anaweka x heeee Jamanii mwanaume inanoga uwe mgumu mgumu/mkakamavu japo kidogo
 
Hahahaaaaaa mwanamme lazima uwe mkakamavu ,mgumu ,,huna jiamin km huna ,nikidogo jiamin ...

Kuna jamaaa ,, yaaan akiwa ana demu anakufata umwachie ndani mwako ,, sasa banaa mataiz anayoyafanya haaaaaaaaa mademu wanaishiaga kumwambia "nioe baby ,nioe nikupe watoto"..... Jamaa anageto lake kiaina ila hajiamin daaaahhhhh... Mwisho wasiku amekua hakai na mwanamke hata mwezi yaaan ,,Siunajua uongo mwisho huwa ni Aibu ?? Sasa kuficha aibu ,ameamua kua mtu wakula mzigo nakusepa basiiiii...

Mwanamme nikujiamin ,km unajua sarakasi ,Fanya sarakasi mwanamke wako aone maajabu km huyu kaka yangu
69511b8b419915c1f0d890ebd88c3579.jpg
.. Yeah am rude/angry ukinipenda poaa usiponipenda poaa ,,yann pretend wakat IPO siku Asili yangu utaijua??.
 
hahahahahaaaa nimecheka hapo kweny kula sosej moja......

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom