Hakuna njia ya kuzuia usaliti?

Hakuna njia ya kuzuia usaliti?

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
203
Salaam wakuu wote,

Kwani hakuna namna ya kuzuia usaliti? Na kwanini unasaliti mwenzio wakati ulimkubali na ukaridhika na kila kitu toka kwake ama ni muda mchache unautumia kumchunguza tabia zake?

Natamani kujua vyanzo vingi vinavyopelekea watu kusalitiana hali ya kuwa walichaguana wakiwa wana uhakika wameshibana na kupendana sana.

Nawasilisha mada jamani

Mtazamo wenu na njia za kufuta ilikupunguza kasi ya visasi vya usaliti maana havina matokeo mazuri kabisa.
 
Namna ya kuepukana na usaliti kwa msaliti kuacha kumsaliti anayemsaliti basi! ila wakatiti huo huo usaliti unaweza kukoma tu ikiwa anayesalitiwa naye akaamua kumwacha aliyemsaliti ama naye anaweza kusaliti ili ngoma itoke droo!
 
Mkuu umenikumbusha mwanamke wangu wa secondary huyo nlijitoaga sana kwake chaajabu akawadate marafiki zangu karibu 5
 
Me nkigundua umenisaliti huwa naonyesha upendo wa hali ya juu kwa mda flani..afuu ghafla napigaa kimyaaa..!! Na kamwe siji kukwambia sababu....
 
hawaeleweki..unashow lov kias kwamba hata friends zake wanatamani kupata mwanaume wa namna hii ila daaah.. yeye haoni thamani hiyo anakuchukulia poa t [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] nimewasamehe wote walio na watakaoniumiza moyo wangu. ili wao nao wapate nafs ya kusamehe watakapopatwa na maumiv [emoji53][emoji53]
 
kwanini unapogundua amekusaliti bado unakubali kukaa na msaliti
suala sio kukubali kukaa na msaliti huenda una mapunguf ndio maana amekusalit suala ni kujua tatzo linalomfanya akusaliti..[emoji6][emoji6] na mazoea pia kabla ya usaliti mlifanya mengi mazuri kias kwamba inakupa shida kuamua t kumuacha ghafla .. mapenz yana nguv nying
 
hawaeleweki..unashow lov kias kwamba hata friends zake wanatamani kupata mwanaume wa namna hii ila daaah.. yeye haoni thamani hiyo anakuchukulia poa t [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] nimewasamehe wote walio na watakaoniumiza moyo wangu. ili wao nao wapate nafs ya kusamehe watakapopatwa na maumiv [emoji53][emoji53]
Kusamehe muhimu mkuu maana hivi vitu ukizoea utaona ni bora sehemu ya maisha wengine unakutana nao baada ya mda wanalea wamechoka na hawana uelekeo
 
suala sio kukubali kukaa na msaliti huenda una mapunguf ndio maana amekusalit suala ni kujua tatzo linalomfanya akusaliti..[emoji6][emoji6] na mazoea pia kabla ya usaliti mlifanya mengi mazuri kias kwamba inakupa shida kuamua t kumuacha ghafla .. mapenz yana nguv nying
Mimi kama jamaa ana helaa bhasi fresh ntaumia tuu ilaa sitamwachaa... ilaa ukute jamaa haelewekii hataa... dadekii nampiga chin manzi jumla..
 
Me nkigundua umenisaliti huwa naonyesha upendo wa hali ya juu kwa mda flani..afuu ghafla napigaa kimyaaa..!! Na kamwe siji kukwambia sababu....
Mkuu wanachanganyikiwaga hatari maana anakua ameishazoea kunyenyekewa
 
suala sio kukubali kukaa na msaliti huenda una mapunguf ndio maana amekusalit suala ni kujua tatzo linalomfanya akusaliti..[emoji6][emoji6] na mazoea pia kabla ya usaliti mlifanya mengi mazuri kias kwamba inakupa shida kuamua t kumuacha ghafla .. mapenz yana nguv nying
basi ukigundua amekuwa msaliti basi akupe sababu ya yeye kuama hivyo awe muwazi ili ulifanyie kazi kama ni udhaifu, uwe na tabia ya kumpenda sana mama yako aliyekuzaa maana huyo hawezi kukuumiza sana
 
Me nkigundua umenisaliti huwa naonyesha upendo wa hali ya juu kwa mda flani..afuu ghafla napigaa kimyaaa..!! Na kamwe siji kukwambia sababu....
hapo hujajenga tunataka utatue hili tatzo huenda wewe ndio msababishaj jaribu kukaa na mwenzio na mzungumze suala zima la mfumo wa penz lenu na msiwe wat wa kitu ama style noja nayo itasaidia... nadhani
 
Mkuu wote walipita ilikuwa kama hulka yake kutaka vitu vikubwa vidogo aliona sio hadhi yake
hi nayo inasaidia kwa kiwango kikubwa cha mcingi ni kuikabili na kuibadilisha tabia yake na katika hili kunaitaj kujitolea sana maana mwanamke ni kama mtoto
 
Back
Top Bottom