ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 549
Nakumbuka siku za nyuma kulizuka ugomvi wa kukata na shoka, ugomvi ulikuwa wa kugombea mwanaume.
Napenda kujua nani alishinda na nani alishindwa? Maana jamaa inasemakana wakati ana gombaniwa alikuwa amemtelekeza mkewe wa ndoa lkn wawili hawa hawakujali hayo kila mtu akawa anajaribu kutafuta nafasi ya kuwa Mrs wa jamaa.
Naomba kujuzwa nani aliibuka kidedea na kuolewa na jamaa au wote mlikula kibuti?
Naomba kusahihishwa kama ntakuwa sipo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app