Wanaume wajibu wa kutunza wake zetu ni wetu.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Biblia inasema Mwanamke ataachana na wazazi wake na kuambatana na mmeo.

Kwao alikuwa anakula vizuri,analala vizuri,kakufuata,kumlisha na kumpa mahitaji ni wajibu wa mwanaume.

Wanawake wengi wanavumilia wanaume wenye hali ngumu,ila wanatakiwa waridhishwe.

Hakuna anayetaka kuwa maskini ,wanawake wote wanatakiwa wakidhiwe mahitaji yao,ila kama hawaridhiki huo ni mtihani mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Viol inasikitisha.

Humu ndani watu wanaleta siredi eti "hela ya wife huwa ni kwa ajili ya matumizi nyumbani na mavazi yakwangu ya kufanyia maendeleo"
 
Wanwake siku hizi tunajitegemea ilihali tuko kwenye ndoa
Wanaojitegemea ni wachache kuliko idad kubwa ambayo ni tegemezi. Kazi ninayofanya imenipa access ya kutembelea hii nchi miko yote na wilaya mbali mbali.m wengine nimeish nao and trust me.. kuna jamii tofauti sana sana.. na kila jamii ina mtazamo wake.
Wa dar wanaweza kuwa wanajitegemea, lakin wa kwingine hawafanyi hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema Mwanamke ataachana na wazazi wake na kuambatana na mmeo.

Kwao alikuwa anakula vizuri,analala vizuri,kakufuata,kumlisha na kumpa mahitaji ni wajibu wa mwanaume.

Wanawake wengi wanavumilia wanaume wenye hali ngumu,ila wanatakiwa waridhishwe.

Hakuna anayetaka kuwa maskini ,wanawake wote wanatakiwa wakidhiwe mahitaji yao,ila kama hawaridhiki huo ni mtihani mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Bible inasema, akatupatia msaidizi, ambae alitoka ubavun mwa mwanaume.

Ili kuambatana na mume akawe msaidizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom