Mwaka mpya unejiandae kuupokea?

Mwaka mpya unejiandae kuupokea?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Mwaka mpya kwangu mimi naupokea nyumbani halafu kesho yake nashukuru kwa kila jambo basi naenda outing kufurahia mwaka mpya.
Je wenzangu mnampango gani???
 
Dah!
Mi sijui itakuaje mana siku hiyo hata mechi za maana hakuna...hadi sa ivi sijajua ila picha inayonijia ni ya kua bored tu
 
kama kawaida tuu maana naona ni namba tuu nitakuwa na ratiba ka zakawaida tuu
 
Poleni jamani kisa cha upweke nenda katafute kampani sehemu nzuri nzuri.
Kama wewe ni msichana nenda kahongwe kama mvulana kahonge sehemu nzuri mzuri.
Usikae mwenyewe
 
Back
Top Bottom