Mwanamke ukinikataa na assume una ukimwi umeamua kuniokoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,558
44,744
Ilikuwa nikitongoza mwanamke ambaye nimempenda Sana halafu akanikataa roho inauma sana Kias kwamba naanza kupata tatizo la pressure kushuka.unakuta hapo nimetumia mbinu zote nimerusha mabomu yote halafu mtoto hanielewi afu ukitegemea Mimi Ni handsome boy na Sio maskini Sana. nachanganyikiwa,naanza kujitafutia kasoro sizioni, nakuwa mnyonge utakuta playlist yangu week nzima Ni nyimbo slow slow za mapenzi.sasa siku hizi nimerahisisha mambo na ku solve hilo tatizo nikikutongoza ukanikataa hapohapo kichwani naweka wazo kuwa utakuwa Ni mwafrica uliyeathirika na kwa hivyo umeamua tu kunionea huruma usiniue mapema kijana mwenzio.nakushukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom