Hii kauli kua Tuishi kwa akili na wanawake ina maana gani hasa? Msaada tafadhali Nahitaji kujifunza.

alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
2,366
3,109
Marafiki na members wote salamu kwenu na heri ya mwaka mpya, ama baada ya salamu naomba kwenda kwenye mada husika hapo juu ikichagizwa na maelezo haya:

Nipo kwenye uhusiano na wanawake watatu tu, na katika hao ni wawili ndio nimeona kama Mara nyingi maneno Yao yakinigusa moja kwa moja ama kushabihiana, mfano ni hivii.

Kwa nyakati tofauti ninaweza kuwapigia simu wasipokee au kuwatumia sms kwa Whatsapp wasijibu kwa wakati ila mda huo unaona wapo online, basi wakija kunitafuta au nikiona mda unaenda wako kimya mimi ninaweza kutxt hivi ‘Hivi ina maana call zangu na sms zangu huzioni au una maana gani kutokunijibu na ilihali upo online ‘. Marafiki ama hakika majibu Yao mengi inakua ni kunilaumu mimi nipo harsh na sipendi kujua kwa nini hawajajibu kwa wakati ila nalaumu tu, hivyo hupendelea kusema mimi ni mkorofi na natakiwa niwaulize in a polite way, jamani mtu yupo online unamtxt hajibu anajibu na kukutafuta morning baada ya Lisaa kweliiii na mimi nikipiga kimya wanalaumu nimebadilika. Nisiwachoshe nihitimishe

Nimetafakari hii kauli ya kuishi nao kwa akili naona bado napata mkanganyiko kulinganisha na huo huo mfano hapo juu, sasa napenda kujua kuishi na mwanamke kwa akili ni kuishi nae vipiii maana hawaeleweki nini anataka na nini hataki kwa wakati gani na mood gani. Elimu Tafadhali ili nijue nikae vip na hawa viumbe kuepusha songombingo zisizo na msingi
 
Usimwache akakutawala, usiache akajua udhaifu wako. Mfanye aone huna madhaifu anayoweza kuyatumia kama fimbo, ni kwa muhtasari tu ya jinsi ya kuishi nao kiakili. Yapo mengi mno ya kuyazingatia, kuendana na msemo huo

Kama hao ambao hawajibu text zako washajua udhaifu wako ni upi, hupendi kuambiwa ni mkorofi na ukiitwa hivyo unakubali mambo yaishe haraka amani irejee.

Ndiyo maana ukianza kulalamika, anatumia kama ngao yake ilimradi usimwone ni mkosefu. Huo ni udhaifu wako

Usiwe mpole sana wala mkali sana, vyore vitakugharimu.
 
Kuishi na mwanamke ni kama kucheza karata inahitaji utulivu, timings na umakini mkubwa. Kiongozi ww Usome tu mchezo ili ikusaidie kujua ni wakati gani ucheze, jocker au utoe j’ ili yy acheze yyt. Anyway nimeelezea kwa mafumbo ili nisiwaudhi Dada zetu

I hope umenisoma somehow.
 
Wa kawangu naye simuelewe toka jana scenario ni kama yako mara aniambie waya wa mic umekatika usinipigie we nitxt tu.. nikamwambia c kila muda ninakuwa kwenye mood ya kuandika mimesg.. nilpoona anielewi mwishoni nikamwambia kama hutaki basii sikulazimishi mana alinitafuta mwenye on air.. hakujibu msg yangu... jioni kabla ya mkesha nikamcheki nikamuuliza ulkuwa unasemaje akanijibu vifupi fupi nikamwambia ninpokwenda kuumaliza mwaka 2018 na wewe kwaherii.. sitaki kisirani mie..

Nikiwa naelekea ibadani mishale ya kama saa nne hivi ohoo hapana siyo hivyo mie niljua umekasirika.. kajibalaguza nikamwambia basi poa baadaye kwa mengineyo subiri nikitoka ibadani tutabonga zaidi.. now hebu niache nikagalegale kwanza madhabahuni.. niache nidai kwanza vitu vyangu vya 2019

Nikatoka saa nane usiku.. nikamtext msg zake na za kumtakia heri ya mwaka mpya.. nikitumaini asubuhi ataziona na kunijibu..

Kimya mpaka saa saba mchana nikamtafuta mie.. akaniambia sorry nitxt simu mic mbovu.. nikajisemea moyoni hivi hata kuandika msg ya "nimeona msg zako" then akaendelea na majukumu yake?? ameshindwa kweli?

Kingine nimegundua ana jamaa yake lakini hatulii kila baada ya muda sik 3 au 4 ni lazima anitext..

Mwisho nikamwambia siwezi kukutafuta mie na hiyo hbr ndiyo imeishia hapoo? Nikafuta namba zake zote mchana wa leo..
Mana nimeona nimuwahi kabla hajaniwahi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi na mwanamke ni kama kucheza karata inahitaji utulivu, timings na umakini mkubwa. Kiongozi ww Usome tu mchezo ili ikusaidie kujua ni wakati gani ucheze, jocker au utoe j’ ili yy acheze yyt. Anyway nimeelezea kwa mafumbo ili nisiwaudhi Dada zetu

I hope umenisoma somehow.

Duh mkuu wanachanganya sana mimi sikuwahi kuwaza Kua na mpenzi zaidi ya mmoja ila purukushani zao ndizo zimenifanya niwe na back up, sababu yeye usipomtafuta anamind na kusema nimebadilika ila yeye ukimuuliza anasema nakua mkali na harsh sana, kama haitoshi wakiwa na mood mnaweza ongea masaa ata 2 ila ikitokea umemwambia umechoka upumzike na yeye Ana mood ni vita na laumu and vise versa yaan ni pasua kichwa
 
ME ukiwa boya KE watakuwa wakikutumia kuweza kuelea baharini tu wakifika nchi kavu hawana habari na wewe tena...
 
Sio kama unavyodhani mkuu, wananipenda kuliko maelezo isipokua changamoto hazikosekani na kujifunza ni muhimu na kumbuka kuonesha ubabe sio kipimo cha kuonekana mwanaume rijali na makini
 
Ila nimekusoma tofauti na wengine. Mimi nimekuelewa kuwa umekuja hapa kujitapa kuwa upo kwenye mahusiano na jike 3. Hili halikubaliki hata kidogo kwani utawaambukiza ukimwi au utawafanya waupatie nje kwani, huna uwezo wa kuwakuna wafike kilele huku muda wako mwingi ukiangalia Watisiapu zako kuwa ni yupi yuko on line. Najua unatamani angalao uwashike ujue wana chati na nani. Utakufa bure kwa bp wenzio tuje kujilambia taratiib.
Hakika; Ishi nao kwa akili sana sio kwa kuwachunga sio mbuzi hao.
 
Wa kawangu naye simuelewe toka jana scenario ni kama yako mara aniambie waya wa mic umekatika usinipigie we nitxt tu.. nikamwambia c kila muda ninakuwa kwenye mood ya kuandika mimesg.. nilpoona anielewi mwishoni nikamwambia kama hutaki basii sikulazimishi mana alinitafuta mwenye on air.. hakujibu msg yangu... jioni kabla ya mkesha nikamcheki nikamuuliza ulkuwa unasemaje akanijibu vifupi fupi nikamwambia ninpokwenda kuumaliza mwaka 2018 na wewe kwaherii.. sitaki kisirani mie..

Nikiwa naelekea ibadani mishale ya kama saa nne hivi ohoo hapana siyo hivyo mie niljua umekasirika.. kajibalaguza nikamwambia basi poa baadaye kwa mengineyo subiri nikitoka ibadani tutabonga zaidi.. now hebu niache nikagalegale kwanza madhabahuni.. niache nidai kwanza vitu vyangu vya 2019

Nikatoka saa nane usiku.. nikamtext msg zake na za kumtakia heri ya mwaka mpya.. nikitumaini asubuhi ataziona na kunijibu..

Kimya mpaka saa saba mchana nikamtafuta mie.. akaniambia sorry nitxt simu mic mbovu.. nikajisemea moyoni hivi hata kuandika msg ya "nimeona msg zako" then akaendelea na majukumu yake?? ameshindwa kweli?

Kingine nimegundua ana jamaa yake lakini hatulii kila baada ya muda sik 3 au 4 ni lazima anitext..

Mwisho nikamwambia siwezi kukutafuta mie na hiyo hbr ndiyo imeishia hapoo? Nikafuta namba zake zote mchana wa leo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikwambie ukweli hilo suala la mic mbovu, jua ulikuwa unasaidiwa jukumu. Angepokea angejipalia makaa
 
Ni kweli mkuu sibishi mana nilitafakari sana.. huyu manzi anaishi mbali ye mlandizi mie dsm.. unakuta saa za usiku anakuaga mapema saa tatu tu mpk nashangaa anakwambia ana usingizi wkt alishasahau huko nyuma tulishachat mpk saa tano usiku

Cha ajabu mchana mnakuwa wote mnajuliana hali kila wkt mpk unasema hapa nimelamba dume..
Hawa madem wapolewapole daaa akili ya ziada na ya kujiongeza inabidi itumike..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nimekusoma tofauti na wengine. Mimi nimekuelewa kuwa umekuja hapa kujitapa kuwa upo kwenye mahusiano na jike 3. Hili halikubaliki hata kidogo kwani utawaambukiza ukimwi au utawafanya waupatie nje kwani, huna uwezo wa kuwakuna wafike kilele huku muda wako mwingi ukiangalia Watisiapu zako kuwa ni yupi yuko on line. Najua unatamani angalao uwashike ujue wana chati na nani. Utakufa bure kwa bp wenzio tuje kujilambia taratiib.
Hakika; Ishi nao kwa akili sana sio kwa kuwachunga sio mbuzi hao.

Rafiki nimetaka nikujibu Vibaya nikaona haitanisaidia. Ila asante kwa ushauri
 
Ni kweli mkuu sibishi mana nilitafakari sana.. huyu manzi anaishi mbali ye mlandizi mie dsm.. unakuta saa za usiku anakuaga mapema saa tatu tu mpk nashangaa anakwambia ana usingizi wkt alishasahau huko nyuma tulishachat mpk saa tano usiku

Cha ajabu mchana mnakuwa wote mnajuliana hali kila wkt mpk unasema hapa nimelamba dume..
Hawa madem wapolewapole daaa akili ya ziada na ya kujiongeza inabidi itumike..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na upole umeumia, huyo mburuze akijifanya ni kichwa ngumu. Unyenyekevu wako, unaonekana fala
 
Ni kweli mkuu sibishi mana nilitafakari sana.. huyu manzi anaishi mbali ye mlandizi mie dsm.. unakuta saa za usiku anakuaga mapema saa tatu tu mpk nashangaa anakwambia ana usingizi wkt alishasahau huko nyuma tulishachat mpk saa tano usiku

Cha ajabu mchana mnakuwa wote mnajuliana hali kila wkt mpk unasema hapa nimelamba dume..
Hawa madem wapolewapole daaa akili ya ziada na ya kujiongeza inabidi itumike..

Sent using Jamii Forums mobile app

Na hizo ndizo akili zenyewe sasa nadhani maana ulijua mapema
 
Ni maamuzi tu sometime unaweka ukuta c kila kitu ambacho atakileta kwako kitakuwa ndiyoo.. sometime inakuwa hapana halafu asikusome kabisaa.. then uwe mtu wa maamuzi.. ukikiendekeza kichwa cha chini kichukue nafasi ya kichwa cha juu ktk kutafakari na kuamua ndugu unaumia.. mana utapelekeshwa kama boya la baharini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom