Nahitaji urafiki na "sister" wa kanisani

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wakuu,

Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote.

Naamini nina vingi vya kujifunza kwao, hivyo kama kuna sister humu au ushauri wowote wa namna ya kumpata sister naombeni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho ni zinaa na kukkuzalia mtoto ambaye utampeleka kwa mama yako huku yeye analea watoto yatima mission. Wanafaidigi ni wanawake waliozaa na mapadri wa mashirika ambao ni raia wa hapahapa Tanzania. Kuna mdada nfahamu kamilikishwa mali ili mtoto asipate taabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote.

Naamini nina vingi vya kujifunza kwao, hivyo kama kuna sister humu au ushauri wowote wa namna ya kumpata sister naombeni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!umenikumbusha mbali.....Ila kwa leo tuishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote.

Naamini nina vingi vya kujifunza kwao, hivyo kama kuna sister humu au ushauri wowote wa namna ya kumpata sister naombeni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaa urafiki gani ndugu unaohitaji?

Ila wapo kanisani jaribu kuwafatilia mtakuwa marafiki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kanisani roma kabandike hili tangazo lako mkuu utawapata wengi tu wale ni watumishi wa Mungu hawana shida juu ya urafiki ila hum utawapata makahaba tuuu[emoji28][emoji28][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuwatia tu masister wa watu huna lolote.
Umehangaika mwenyewe kutafuta bikira kitaani umechemka sasa hivi akili yako umeielekeza kwa masister ili utimize lengo lako sio?

Maendeleo hayana chama
 
.
Meme%20Creator_1546359613067.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote.

Naamini nina vingi vya kujifunza kwao, hivyo kama kuna sister humu au ushauri wowote wa namna ya kumpata sister naombeni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE sister wa nini sasa,mnataka kufungua chekechea???
 
Mkuu bikra zao wajanja walishachukua labda kama kuna issue nyingine.

Back
Top Bottom