Mabingwa wa kuhukumu

Mabingwa wa kuhukumu

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
....Amber Ruthy kaolewa na jamaa yake, Ukipita kwa mitandao ya kijamii watu mapovu kibao na mbaya zaidi Wanajifanya Kama lile tukio ni baya Sana kama Kaua.
...Ajabu ni kwamba Wao wanyewe wengi wao Matundu yote Mawili yako Wazi 24 Hours.
#Jamaa kaamua kuoa tulieni jamani msijifanye Wasafi wakati wenyewe Ni Bata kuliko yeye AMBER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wengi wao ndio kutwa na smartphones zao wanashinda kwenye PORN SITES.Wabongo wanafiki sana...


#GodAboveAll
 
Back
Top Bottom