Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,824
Habarini.
Hivi ni kwann kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwapo na trend mpya ndani ya mahusino inapotokea kutoelewana watu option namba moja ni kujiona sio perfect couple yaani hawakustahili kuwa pamoja na njia au option ya kwanza ni kubreak up na kuvunja mahusiano wa kiamini kuanza upya na mtu mpya ndio namna bora ya kurekebisha matatizo badala ya kukaa as a team na kujadili nini kimekwenda kushoto na nini kifanyike kurekebisha hali isijirudie......?!
Na ni kwanini now days watoto wakike wapo very quick kuanzisha mahusiano mapya after break up na baada ya kuyaanzisha hayo mahusiano, na vitu visipokwenda sawa na wakayachuma majanga katika uhusiano huo ndipo huwa wapo tayari kukaa chini kitako na kudiscuss solution ya mgogoro in a civil and attentive manner....?!
Kwanini couples now days individuals ndani yake wanakuwa selfish yaani kila mtu anatazamia manufaa yake na badala ya kuhofia mwenzake hatima yake.....?! Yaani hakuna ile hali ya "dont worry honey, i have got your back" ni kama upo na mtu unayemtrust but inapotokea changamoto ya kukoseana huyu mtu anakuwa very quick kuondoka na kukuacha udeal na maisha yako by your self.....mbona wazazi wetu walikuwa wanakwazana na hata kukoseana lakini heshima ya kulinda uhusiano ilikuwapo na walikuwa radhi kukaa ndani nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, hata kama wamenuniana.......ile hali tu wanasimamia kiapo cha tuko pamoja hadi mwisho......?!
Kwann jamani, hivi tumefikaje hapa.....?!
Sent using Jamii Forums mobile app