mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Mwaka mpya tumeuona tukiwa na afya
Habari zenu.
Nimefuata maneno ya NEY WA MITEGO kwenye nyimbo aliyoimbaga na B GWAY nyimbo inaitwa SIJACHUKIA.
alisema DEMU AKIKUKATAA KAMATA DADA YAKE CHAPA
Kama hivo ndivo..... nilimtongozaga bint mmoja hivi, akaleta mashauzi na kujiona matawi ya juu. Basi nikakumbuka kumbe alikuwa na ndugu yake mzuri zaidi yake ngoja nihamishe majeshi kule upande wa pili.
Waoooo
Binti yule akajaa na baada ya siku kadhaa akanikabidhi kitumbua laiiiini,,,, wakati huo mdogo wake bado hajasanuka kwamba nimehamisha majeshi kwa dada yake.
Siku moja akaja kuipata habari kwa ndugu yake kuwa nampekecha Tena nampekecha kile kipekecho Cha mbwa kichaa
Duh alichokaje?
Mpaka Sasa heshima anayonieshim ni zaidi ya babayake wa kambo.
Kasumba zitaisha mwaka huu jaman #2019
Sent using Jamii Forums mobile app