PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Kuzoeana sana na manzi, ni kweli kunaleta ugumu ukitaka kumtokea??
Na ule uvumi wa mgomo wa walimu vipi??
Baadhi ya watu niliwasikia, "Dah! ningemtokea ila tumezoeana sana huenda asiamini"Domo zeke mnahama na udomo zege hadi 2019.anyway ukizoeana nae ndo simple sasa kutupia yan nikama shemejishemeji huku unazima taaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ule uvumi wa mgomo wa walimu vipi??
Duh! Cherehani moja mzee?? Utakidhi mahitaji ya soko kweli??Unajua kama ukiwa hata na cherehani moja hicho ni kiwanda cha nguo? Acha kuwaza ujinga, tafta kiwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakapokelewe na majengoWao wanaenda shule maana majengo yapo suala la mgomo ni kesi nyingine , waende kwanza shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana haileti ugumu, isipokuwa ukiwa na matani mabovu naye ndiyo inakuwa ngumu mno kumtokea.Kuzoeana sana na manzi, ni kweli kunaleta ugumu ukitaka kumtokea??
Vipi mbona hutaki shule zifunguliwe kwani na wewe ni pupil ?Wakapokelewe na majengo
Kina ukweli ulichosemaHapana haileti ugumu, isipokuwa ukiwa na matani mabovu naye ndiyo inakuwa ngumu mno kumtokea.
Labda ufikirie nje ya box ndiyo unaweza kufanikisha mpango wako
Shule kufunguliwa papo pale pale chief
Mazoea hayazuii kumpata mtu, tena wa namna hiyo hata mkija kuachana mtakuwa karibu vilevie. Maana mlishakuwa karibu mno, hata kabla hujampata.Kina ukweli ulichosema
Mi mwenyewe nnapompenda mwanamke na nikawa na lengo la kumtongoza hua sipendi kua na mazoea nae zaidi ya salamu.Baadhi ya watu niliwasikia, "Dah! ningemtokea ila tumezoeana sana huenda asiamini"
Mazoea ya kupitiliza jauMi mwenyewe nnapompenda mwanamke na nikawa na lengo la kumtongoza hua sipendi kua na mazoea nae zaidi ya salamu.
Nkiwa na mazoea nae sana itabidi nitumie nguvu nyingi na muda mrefu kumpata tofauti na yule ambae sina mazoea nae.
Ila kila mtu hua ana namna yake na mbinu zake za kuapproach.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mi sipendagi kabisa na demu nikishamzoea hata nimpende vipi hua sianzi kumtongoza labda aanze yeye kunitongoza au sanasana tutajikuta tumekulana bila hata ya kutongozana.Mazoea ya kupitiliza jau