UMUHIMU WA MAWASILIANO

UMUHIMU WA MAWASILIANO

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
UMUHIMU WA MAWASILIANO

Hakuna linaloweza kufanikiwa pasipo mawasiliano. Tambua kwamba mawasiliano ni kati ya nafsi na nafsi – hivyo nafsi zisipokuwa na mawasiliano ina maana miili inayobeba nafsi hizo haiwezi kushirikiana kwa lolote. Haya naamini unayajua; ila napenda kukufahamisha kitu kimoja ambacho ni kikwazo cha mawasiliano – WOGA.

Katika kuishi kwako – ondoa woga! Woga ndo unakufanya usiwasiliane na fulani. Woga huo ndo unakufanya usiwe na ushirika na fulani. Woga huo ndo unasababisha usipate usaidizi toka popote pale. Mwaka 2019 umeanza vyema – nakushauri rafiki yangu uondoe kitu kinachoitwa WOGA kwenye maisha yako.
 
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeee
Baadae tukutane pale njia tatu kiwanja kinachoitwa SHAMBA LA NY.E.GE nadhani unapajua
 
Haiwezekani mwanaume wiki mbili wewe ndo unakaza tu kuweka mawasiliano...usipomcheki hakucheki hapo lazima uelewe hakuna tija...
 
Haiwezekani mwanaume wiki mbili wewe ndo unakaza tu kuweka mawasiliano...usipomcheki hakucheki hapo lazima uelewe hakuna tija...
Anayetaka hachoki - akichoka kaishapata.
 
Back
Top Bottom