Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalaaam wadau wangu wa MMU ... Rejea kichwa Cha habari hapo juu wasichana wengi mnao maliza vyuo hamko romantic na hamjui majukumu yenu mnapokua na wapenzi wenu ukiringanisha wanawake wenye umri...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Je unaijua hii Ubora wa baba hauonekani katika mali zake nyingi ulizonazo, magari majumba, ndoto nyingi, mawazo na malengo mengi big noooo Baba aliyebora ataonekana tu inapotazamwa familia yake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kwa miezi kadhaa nimekuwa katika hali ya kukosa Raha baada ya kubaini katika wanawake nilioshirikiana nao Wanne wanadaiwa kuwa waathirika. Mmoja kati yao nina uhakika wa 100% kuwa anatumia...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Wapwaz and Binamuz.Salaam sana. Kwa takribani miezi sita sasa sijahudhuria jukwaa letu pendwa MMU as I used to be.Nimewamiss marafiki wazuri niliowapata kupitia Jukwaa hili.Jukwaa la...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Jitahidi utazame yote kuna mengi ya kujifunza.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman naombeni msaada wana jf kwa aka kaneno ambako kamekua maarufu siku hizi ambako kanatumiwa sana siku hizi na watu wengi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Habari usiku huu wakubwa. Zangu,,,,, Naomba kujua AINA za upendo Muwe na usiku mnono wakuu! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Baada ya Incident la miezi kadhaa iliyopita la kugegedana nyama kwa nyama na mhudumu wa Guest House wakati naenda chuo,nilipata stress sana kujiuliza kama kaniacha mzima au kaniachia umeme!!! Leo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ipo hivi,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakini toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano mwanzoni ilikuwa ni...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Naomba niambiwe matumizi sahihi ya kila kiungo cha binadamu? Kuanzia juu mpaka chini bila kusahau viungo pendwa vya ; 1:Dushe 2:Papuchi 3:Tigo 4:mdomo 5:Mkono Na hivyo ndio aswaa mada yangu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Anaandika . Ugwesu. Wadau JF. Mimi nmemaliza shule ya msingi mwaka 1994 nakumbuka shuleni nlikuwa na jamaa yangu alikuwa amempa msichana mimba akiwa darasa la sita. Huyu jamaa alianza mambo hayo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajf naombeni ushauri kwa mnatengenezaje email za hiyo website ? Zile za info@kokoteemail.com Na zile sales @ Booking@ naombeni msaada. Jamani nitashukuru.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tukielekea kwenye maadhimisho ya siku ya mama Duniani tujaribu kurudi nyuma na kujikumbusha juu ya matukio au mambo muhimu ambayo mama zetu wametundea na kuleta Matokeo chanya kwenye maisha yetu...
66 Reactions
140 Replies
23K Views
Habari humu... Nina machache ya kujadili na ninyi mlio ndani ya ndoa yenye kuchanganya kidogo na yanahitaj mwenye uelewa mzuri kunielewa point yang na kunijibu vema kwa namna yeye anaona kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu zangu Leo Nimeamua kuwasifia wanawake katika Mambo haya. Naomba mzipokee kwa mikono miwili. A. Kitendo cha kupendwa/kutamaniwa na kidume usichokijua hata kidogo, nawe hatimae ukaja...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni kama mwaka mmoja na nusu sasa umeshapita huyu demu Nilikuwa na mahusiano nae na hata papuchi nilishakula ila tatizo ni kwamba enzi zile nilitaka nivute jiko niweke ndani kwa sababu ya kuvutiwa...
10 Reactions
39 Replies
5K Views
Ety wadau... Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao... Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...? Ipi...
2 Reactions
74 Replies
6K Views
No way. Yaani no way kabisa! Ukiachilia mbali aliyegundua sindano za kunenepesha kuku na ng’ombe pamoja na wale wa GMO waliotuletea nyanya zenye uzito wa robo kilo na ukubwa kama chungwa sisi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…