''Nipo kwenye dilemma ..ushauri please''

life style

Member
Jan 5, 2019
8
8
Ipo hivi,kuna msichana nipo naye kwenye mahusiano mwaka wa pili huu ...lakini toka mwanzo sikuwahi kumpenda kwa moyo wote ilitokea coincidence tu tukajikuta kwenye mahusiano mwanzoni ilikuwa ni kama friends with benefits tu lakin yeye ndiye alichangia kwa kiasi kikubwa at least kufikia hapa .

Sasa kwa kipindi hiki mimi najiona nahitaji kuwa na familia kwa maana umri unaruhusu kabisa na kipato cha kumudu majukumu ya familia nashukuru kipo sasa tatizo hata nikiwa naye sijifeel chochote yani

kuna wakati hata kwenye sex ili mzuka uje wa kutosha basi kwenye fikra zangu nimfikirie mdada mwingine(tuliwah kuwa wapenz na huyo tukaseparate,ameolewa kwa sasa) ndio stimu zinakuja za kutosha

Lakini huyu ndio yupo around kwa sasa , ambacho kinanipa shida ni kwamba kwa sababu nahitaji kuoa je niendelee na huyu huyu ambaye tayari tushazoeana lakini moyoni kwangu hayupo na nimeshajilazimisha sana kumpenda lakini still bado namchukilia poa tu au nitafute mwingine ambaye moyo wangu

Utaridhika naye ndio niingie kwenye ndoa (hapa nafikiria kuanza upya kumzoea mtu mwingine na mapungufu yake uyazoee) by the way I'm turning 30 may mwaka huu na najihisi nimechelewa kuanzisha familia..hapa ndio pananipa shida ..ushauri please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time, write thread with all truth about you, for what you want to say.
But Ushauri wangu wa pekee kwako ni...
IMG_201811317_114344.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri umwambie humfeel chochote kile akajua mwenyewe asuke au anyoe

Mnaishi kimazoea ndio mana, anatakiwa kua mbunifu, yan mnaishi kiasi ushajua akifanya hiki next ni hiki kiasi ukaanza kupoteza interest nae

Jaribu kufikir mara mbili, huko unakotaka kwenda una guarantee gani kwamba utaezana naye mkafunga ndoa??

Maisha ya ndoa sio lele mama,jaribu kufikiri unataka nn ufanyiwe nn jaribu kukaa nae chini mtatue tatizo lenu kama utaona hisia zimepotea zaidi muache dada wa watu aende.
 
Sister Kuna viumbe wanatembea na laana kwa kweli miaka miwili uko na binti wa watu, wanaume wangapi walio kuwa na nia ya huyo mwanamke kamkosesha bahati, Jitu kama hili ukija kufunga nae ndoa ni nuksi tupu ndani ya nyumba.
 
halaf kuna watu ukiwa nao maisha yako yanakunyookea kama alivyosema huyo mwanamkw wa watu nyota zao zimeendana yeye tu saa hizi kapata wa kumzuzua ndio mana anaona uwepi wa dada wa watu unamkera
 
halaf kuna watu ukiwa nao maisha yako yanakunyookea kama alivyosema huyo mwanamkw wa watu nyota zao zimeendana yeye tu saa hizi kapata wa kumzuzua ndio mana anaona uwepi wa dada wa watu unamkera
Kaona kashapata visent anawaza kumuacha mtu usiye kuwa na hisia nae huwezi kudumu nae miaka 2.
 
Vijana mkipata pesa tu mnasahau makoloni yenu ya nyuma

kama ulikua humpend si ungemuacha mapema mkuu
Sikuwahi kufikiria kama tutadumu hata kwa miez sita..ilikuwa niamshe kisela nipite hiv sema mazingira na mazoea nikajikuta nipo had sasa hiv...na kiasi flani ni mwema kwangu ndio maana najifeel guilty kuna wakt kumuacha aende...kuna wakti had naombea yy ndiye aniache mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri umwambie humfeel chochote kile akajua mwenyewe asuke au anyoe

Mnaishi kimazoea ndio mana, anatakiwa kua mbunifu, yan mnaishi kiasi ushajua akifanya hiki next ni hiki kiasi ukaanza kupoteza interest nae

Jaribu kufikir mara mbili, huko unakotaka kwenda una guarantee gani kwamba utaezana naye mkafunga ndoa??

Maisha ya ndoa sio lele mama,jaribu kufikiri unataka nn ufanyiwe nn jaribu kukaa nae chini mtatue tatizo lenu kama utaona hisia zimepotea zaidi muache dada wa watu aende.
..hiko unachosema ndio kinaniweka kwenye dilemma ,..nashindwa kumuacha aende kwa sababu sijui mbelen nitapata mtu wa aina gan ..at least huyu tayar namjua strength na weakness zake lakin hapo hapo kuna wakt naona kabisa najilazimisha kuwa nae had na yy ameanza kuhisi hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom