Ukipata unisimulie na mimi
Ahaa, no nne inasababishwa na me, ana muoa mke huku hawana kitu mnavumilana wee mpaka Mungu anawatoa kimaisha, pesa zikipatikana tu ndiyo michepuko inaota kama uyoga mke kuonekana si lolote kapitwa na wakati, hivyo wanawake nao sahizi kukubali kuolewa na kapuku ni mpaka ujiridhishe sanaHoja za mtoa ujumbe.
1. Muda wa wazazi kwa watoto wao
2. Malezi kuachiwa dada wa kazi
3. Watoto kutumia simu za bei gali
4. Wanawake kuchagua wanaume wenye pesa na elimu kama vigezo vya kuoa.
5. Nidhamu kwa watoto
6. Elimu ya kujitegemea imepuuzwa na wazazi wengi.
Ahaa, no nne inasababishwa na me, ana muoa mke huku hawana kitu mnavumilana wee mpaka Mungu anawatoa kimaisha, pesa zikipatikana tu ndiyo michepuko inaota kama uyoga mke kuonekana si lolote kapitwa na wakati, hivyo wanawake nao sahizi kukubali kuolewa na kapuku ni mpaka ujiridhishe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua sababu Ulweso kama kweli ni sisi.
Je, ni kweli mwanamke anapompenda mwanamke mwenye elimu au pesa hisia zake zinakuwa anaogopa asiye na pesa atakuja kumsaliti?
Nadhani kwangu ni matamanio ya maisha ideal ambayo wengi wanayo.